Sina wa kumulaumu mechi ilikua nzito kwetu, PSG walistahili ushindi ila tumewaonesha kua sisi ni wakubwa zaidi yaoHonestly, Leo tulikuwa kama Granada hivi, kila mipango ama mipira ilikuwa inaenda ovyo., pamoja na Courtois kubeba sana ila na yeye yalimshinda, next leg tutakuwa Bernabéu
#HalaMadrid
Kweli kabisa, Ancelotti ana maswali kibao ya kujiuliza Second leg, plus hatapata huduma ya Casemiro., so tuombe tu team yetu irejee kwenye pick la sivyo hata La Liga tunaweza kuisikia tu kwa majirani.Leo ndio kila mmoja kaona mwanya uliopo ukikutana na timu.. huyu psg kwa city alitulia kama mtungi, hapo hujakutana na city..
Ukweli timu ilistahili kupoteza maana hakuna tulicho deliver
Hamna mechi kubwa tuliyocheza chini ya Ancelloti tukadominate mchezo, kwa style hii tutegemee miujiza tu tunapokutana na wakubwa. Alafu hata mechi ndogo siku za karibuni pia tumekuwa tukicheza hovyo tu ingawa ubao wa matokeo huwa unasoma tofauti.Honestly, Leo tulikuwa kama Granada hivi, kila mipango ama mipira ilikuwa inaenda ovyo., pamoja na Courtois kubeba sana ila na yeye yalimshinda, next leg tutakuwa Bernabéu
#HalaMadrid
Tunacheza kwa uoga sana.
Matokeo uwanja wao PSG ilikuwaLeo ndio kila mmoja kaona mwanya uliopo ukikutana na timu.. huyu psg kwa city alitulia kama mtungi, hapo hujakutana na city..
Ukweli timu ilistahili kupoteza maana hakuna tulicho deliver
Ni kweli kabisa, ila huwa at least mipango inapangika inakuwa, jana hata hiyo mipango yenyewe iligoma,hata ule ubabe wetu wa kufanya mashambulizi ya kushtukiza nayo ilifeli,ukiona Kroos anashindwa hata kupiga pass imfikie mtu ujue tumepoteana vibaya.Hamna mechi kubwa tuliyocheza chini ya Ancelloti tukadominate mchezo, kwa style hii tutegemee miujiza tu tunapokutana na wakubwa. Alafu hata mechi ndogo siku za karibuni pia tumekuwa tukicheza hovyo tu ingawa ubao wa matokeo huwa unasoma tofauti.
Kweli kabisa, yaani muda wote kama vijana walikuwa wana tetemeka,Tunacheza kwa uoga sana.
Tumewaoneshaje? possesion au?Sina wa kumulaumu mechi ilikua nzito kwetu, PSG walistahili ushindi ila tumewaonesha kua sisi ni wakubwa zaidi yao
Matokeo uwanja wao PSG ilikuwa
PSG 2 Man City 0 katika makundi
Ushindi I wenyewe tunaohitaji ni shida tupu, sijui hata tunacheza nini kiukweli., Ancelotti anatakiwa kuwa makini, asipoangalia anaweza kujikuta hamalizi msimu.,Tunaitaji leo ushindi ndio kombe tulilo bakiza msimu huu