Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Leo ni leo qmamake.
Nasikia Modrid hatacheza baada ya kuvunjika goti. itakuaje pale kati?
Twafwaaaaaaa
Hizo taarifa umezipata wapi Mkuu., hatuna majeruhi so far., Benzema Leo anaweza akaanza ama akapatiwa muda baadae., Mendy na yeye amerudi, anaweza pia kuanza leo.
#Hasta El final
#VamooosReal
 
Tukiweza kutawala eneo lao la kiungo kazi inakuwa nyepesi sana...lakini na sisi tutumie nafasi zetu tutazopata vizuri.
Point ya msingi ni kutumia nafasi tutakazopata vizuri., game ya leo wala hatuhitaji kutawala kwenye kiungo, hii game tunaenda kupiga counter., ila hata hivyo hawana viungo technical sana zaidi ya Marco Veratti wa kutusumbua kihivyo quality yao ipo kwenye forward wao.,
 

Real Madrid line-up for PSG game​

The Whites' team is: Courtois, Carvajal, E. Militão, Alaba, Kroos, Benzema, Modrić, Asensio, Casemiro, Vini Jr., F. Mendy.​

 
Hello Madridistas., hapo juu ni Line-up yetu kwa Leo., Mendy na Benzema wamerudi kwenye kikosi baada ya kukaa nje wakijiuguza. Hopefully tutakuwa na game nzuri sana.,
#VamooosReal
 
Kama kawaida kipindi cha kwanza siku hizi kimekuwa kama hulka, team haieleweki inacheza nini., ila sio mbaya tumewaachia PSG wacheze wanayotaka., ila bahati mbaya na sie bado hatujatulia kwenye kufanya transition hopefully Ancelotti ataongea na vijana wake.,
 
So far upande wetu wa kulia ndio unapitika kiurahisi, ninadhani Asensio hatimizi majukumu yake ipasavyo ya kumsaidia Carvajal kuzuia mashambulizi.,
 
Back
Top Bottom