Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,359
Next Stop, Saudi Arabia., tutakuwa na Classico Super cup on 12th Jan.,
Mkuu unaangalia mpira kwa hisiaMendy hapana bora Marcelo ni mzigo kwenye team ile penalty ya kizembe kabisa alf jamaa ni mzito in short hana kiwango cha kucheza RMA aondoke tu anajua hana speed harafu ana panda tukipigwa counter attack anachelewa jana Couture kafanya saves nyingi kwa uzembe wake
Mkuu penalty moja ndio awe mzigo kwenye team!? Kiukweli Mendy ameimarika sana kwasasa tofauti na msimu uliopita, makosa kwenye mpira yapo, kama uliangalia mpira vizuri mashambulizi mengi ya Valencia yalipitia upande wa kulia na wala sio kushoto kwa Mendy.Mendy hapana bora Marcelo ni mzigo kwenye team ile penalty ya kizembe kabisa alf jamaa ni mzito in short hana kiwango cha kucheza RMA aondoke tu anajua hana speed harafu ana panda tukipigwa counter attack anachelewa jana Couture kafanya saves nyingi kwa uzembe wake
Kijana kiukweli amepevuka, anajitahid sana, nilipoona kuwa ameajiri kocha wake binafsi kwa ajili ya mazoezi ya viungo nilijua tu kuwa amedhamiria kuwa Sawa na kufocus kwenye mpira, ana mwili wa kiasi ila ana stamina ya kutosha, pia upigaji wake wa mpira umebadilika sana,Kila siku zinavyozidi kwenye huyu Jr anazidi kupevuka na anapata utulivu wa akili
Game ya PSG itatoa majibu ya hisia zanguMkuu unaangalia mpira kwa hisia
Mpaka game ya PSG Mkuu, hakuna game nyingine tunayo weza kuangalia!?Game ya PSG itatoa majibu ya hisia zangu
Ndio kipimo sahihiMpaka game ya PSG Mkuu, hakuna game nyingine tunayo weza kuangalia!?
Sawa Mkuu,Ndio kipimo sahihi
Afadhari Theo Hernandez arudiSawa Mkuu,
Theo hawezi kurudi, halafu kwanza hatuna shida na beki wa upande wa kushoto, tuna shida na beki wa upande wa kulia, Carvajal anaumia mara kwa mara sana, so ni afadhali Hakimi arudi kwa upande wangu ninavyoona kuliko Theo, japokuwa wote hawana dalili za kurudi (labda Hakimi kwa kuwa bado ana nia ya kuvaa uzi mweupe, kijingi kipo kwa club anayoitumikia kwasasa).Afadhari Theo Hernandez arudi
Mkuu penalty moja ndio awe mzigo kwenye team!? Kiukweli Mendy ameimarika sana kwasasa tofauti na msimu uliopita, makosa kwenye mpira yapo, kama uliangalia mpira vizuri mashambulizi mengi ya Valencia yalipitia upande wa kulia na wala sio kushoto kwa Mendy.
Kuna utofauti kati ya Mendy na Marcelo, Mendy sio mzuri kukaa na mpira ama kwenye mbele kusaidia mashambulizi (japokuwa jana alishirikiana vyema sana na Vinicius), uwepo wake uwanjani unasaidia kubalance team kwenye ulinzi, ila Marcelo akiwa uwanjani tegemea mashambulizi mengi kutoa kwake (japokuwa na yeye siku hizi hayupo poa) , ila anaacha nafasi kubwa sana ya kulinda, zamani Casemiro ndio alikuwa ana cover nafasi yake wakati anapanda kwenye kushambulia, ila kwasasa vijana wetu wamechoka, sio rahisi ku-cover eneo kubwa sana kihivyo, hapo ukizingatia Casemiro inabidi alinde kati kati kisha arudi kulia kumsaidia Vasquez kwenye aerial balls, hapo vuta picha yupo na Marcelo ndani, utaona namba team inavyopata shida kwenye Ulinzi.
Marcelo a nafasi kucheza kwenye zile team wanazobaki nyuma kukaba, hapo atatusaidia sana kwa kuwa ni mzuri kwenye kushambulia na wakati huo huo hatuna threat kubwa sana ya adui kutushambulia.
Theo hawezi kurudi, halafu kwanza hatuna shida na beki wa upande wa kushoto, tuna shida na beki wa upande wa kulia, Carvajal anaumia mara kwa mara sana, so ni afadhali Hakimi arudi kwa upande wangu ninavyoona kuliko Theo, japokuwa wote hawana dalili za kurudi (labda Hakimi kwa kuwa bado ana nia ya kuvaa uzi mweupe, kijingi kipo kwa club anayoitumikia kwasasa).
Mbona wa kawaida sana.Ndio kipimo sahihi
Ndio left back tuliyenae kwasasa aliyezidi wengine, ama unataka Marcelo acheze badala yake!?Mkuu una tatizo sehemu, Mendy ndio mchezaji mbovu zaidi uwanjani
Ndio left back tuliyenae kwasasa aliyezidi wengine, ama unataka Marcelo acheze badala yake!?