Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Usipate nae shida San a man, anajua msimu huu ni mwisho kuvaa huo uzi, bado ana zile za kupenda kukaa na mpira halafu hana madhara kwa team pinzani,
Jamaa ameisha kiac kwamba hata kumpiga chenga mtu mmoja tu hawezi tena wakati ndio kazi aliyoletwa kufanya, leo vinicius Jr tumemmis, ukimtoa Modric hakukuwa na mchezaji mwingine yoyote anaejaribu kupunguza watu ili kufungua defense nafasi zipatikane.
 
Watani, nimefurahi kuona mkipoteza leo.


Mmekua kama Irene Uwoya. Mnawagomea wakubwa wenzenu, ila madogo wanajipigia tu.

Anyway, kila nikimuangalia Eden Hazard, nakumbuka hasara tuliyokula kwa Coutinho. Watoto mafala sana hawa. Yule Mariano ni garasa, dump him.

Alafu hawa wazee wenu kwenye midfield umri unaanza kuwazidia. Anzeni mapema kutafuta mbadala.

Endeleeni kudondosha point asee, angalau tupunguze gepu!
 
1641668928419.png
 
Hello Madridistas., ni matumaini yangu mpo poa wote., ni usiku mwingine tena wa La Liga, safari hii tupo uwanja wa nyumbani Santiago Bernabéu dhidi ya Valencia.
 
Game ya leo imechangamka tofauti na ile dhidi ya Getafe, kama kawaida ninaona walimu wa La Liga wanaona kutudhibiti ni kucheza wengi nyuma, Valencia wanacheza style hiyo ila at least wanajisahau kidogo, walichoweza kufanya mpaka sasa ni kumnyima Vinicius nafasi ya kukimbia.,
 
Back
Top Bottom