ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,286
- 31,675
Tumekosa clear chances tatu Luca 2 , Kross 1HT : Getafe 1-0 Real Madrid
Tumekosa clear chances tatu Luca 2 , Kross 1HT : Getafe 1-0 Real Madrid
Ni kweli, sema za Luka zote zilikuwa za moto, ya Toni kidogo hata yeye mwenyewe hakuelewa pale alikosa vp, wakati pale ndio zone zake.Tumekosa clear chances tatu Luca 2 , Kross 1
Hatuna right back mwingine labda aingie Nacho,,Asensio na mwenzake vasquez watolewe tu.
Aingie tu, vasquez anapiga back passes tu na forward passes zake ambazo ni chache hazifiki kwa walengwa.Hatuna right back mwingine labda aingie Nacho,,
Me naona tukifika kuanzia kwenye 20 tunapoa na wao wanarudi fasta kujipanga hapoHii game mbona inatuwia ngumu hivi,
Kwa sasa hatuna mafullbacks bora, sio kulia wala kushoto. Wanahitajika watu wapya.Mendy hapana bora Marcelo acheze na uzee wake huo huo
Usipate nae shida San a man, anajua msimu huu ni mwisho kuvaa huo uzi, bado ana zile za kupenda kukaa na mpira halafu hana madhara kwa team pinzani,Hazard bado hajajua thamani yakuvaa jezi nyeupe,ile kiu yakutaka ushindi bado haijamvaa..
Tuna kila sababu ya kusajili beki wa uhakika wa kulia, Carvajal amekuwa na majeraha ya mara kwa mara sana, ndio hapo unaona wanaingia akina Vasquez na huyo Peter. Dogo bado sana kiukweli kuchezea Real a madrid, afadhali Ancelotti angempa nafasi Arribas., huyu Dogo bado sana.Huyu Peter aliyeingia mbona miguu mizito...hasomi movement za wenzake au?
Usimsahau na Mariano Mkuu, jamaa kila mara yupo offside, plus hana foot work nzuri, yaani anachoweza ni kuwania mipira ya juu tu.Duh, tumepoteza, tuna mizigo mingi sana ambayo haina faida kabisa, Hazard, Marcelo na Isco wafukuzwe tu sasa.