Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,301
- 2,126
Mara nyingi yupo nyuma, mashambulizi yetu mbele yanafika na watu wachache. Pia leo amepoteza mipira mingi tofauti na Kroos(ingawa hata huyu hakuwa na maajabu).Modric ameshindwa kazi kivp Mkuu.,
Kama kiungo hiki cha Barca kinatunyong'onyeza hizi huko UEFA sijui itakuwaje.