PSG wenyewe wako kimyaaa, wanasubiri muda ufike wampapase mtu. Messi anakuja Bernabeu to terrorise it as usual. PSG hawana team chemistry ya uhakika, ila wako na world class players wanaoweza kuamua matokeo kwenye mechi muhimu. Ngoja tuone itakua vipi.
Anyway, niliangalia derby yenu na Atletico, mlicheza poa sana.kale katoto ka Vinicious kameanza kua na akili, siku hizi kameacha mambo mengi yasiokua na msingi. Karim Benzema pia naona yuko on fire msimu huu.
So far, nadhani mbio za laliga mmemaliza kwa ile game ya Atletico. Unless mvimbe kichwa, mshindwe kumaintain your position.
Mimi naenda kuchukua Europa League, Thursdays aren't that bad anyways!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]