Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,359
Tunahitaji goli la pili ili kumaliza game, kwasababu goli moja sio goli, ama tukiendelea na matokeo haya tunaweza kujikuta tunacheza kwa presha kubwa sana hapo baadae.
tunahakikisha points za team kubwa tunachukua zote mapemaTulikuwa na ratiba ya kibabe sana, cha ajabu wote tumewagonga, acha tumalizane na Cadiz kwanza kisha tuende mapumziko kidogo tukutane tena Januarytunahakikisha points za team kubwa tunachukua zote mapema
Tunge-draw na Salzburg au Lille ingekua poa sana.
Knockout stage haijakaa poa upande wetu.
Sahau kwa timu ya anceloti kutolewa mapema.Benifica hawatabiriki wanaweza tupiga na kitu kizito
Tunapiga benfica vizuri tuTunge-draw na Salzburg au Lille ingekua poa sana.
Knockout stage haijakaa poa upande wetu.
Mkuu unaweza Kupata unachotaka, droo inarudiwa tena upyaTunge-draw na Salzburg au Lille ingekua poa sana.
Knockout stage haijakaa poa upande wetu.
Qumamake!!!Mkuu unaweza Kupata unachotaka, droo inarudiwa tena upya
Benifica hawatabiriki wanaweza tupiga na kitu kizito
Hahahaaa we jombaa ulitaka upewe nani? Granada?Daah tumepewa psg sijui safari yetu kama itakua na usalama. Ila naamini timu yangu itaenda kuonesha kile kicho bora.
Hahahaaa we jombaa ulitaka upewe nani? Granada?
Ukicheza na wakubwa wenzio halafu ukiwa unapiga inakujengea hali ya kujiamini kila unaposogea mbele.Salzburg ndio niliitaji nipige nje ndani.
Ukicheza na wakubwa wenzio halafu ukiwa unapiga inakujengea hali ya kujiamini kila unaposogea mbele.