Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mbona tumeshinda sasa!!
Ni kama alivyo sema Ancelotti tu, kuwa kuna muda unashida kwa kucheza vibaya na kuna muda unashida kwa kucheza vizuri pia,suala la msingi sana na kushinda,ishu ya team kutocheza vizuri inategemea na vitu vingi ila inarekebishika
 
Ni kama alivyo sema Ancelotti tu, kuwa kuna muda unashida kwa kucheza vibaya na kuna muda unashida kwa kucheza vizuri pia,suala la msingi sana na kushinda,ishu ya team kutocheza vizuri inategemea na vitu vingi ila inarekebishika
Lakini kama huchezi vizuri na unashinda inakuwa ni suala la muda tu kabla hiyo bahati haijaondoka.

Ancelotti aache uhuni, afundishe mpira. Amefanikiwa kukuza viwango vya wachezaji ila sasa adominate opponents kama timu kubwa nyingine zinavyofanya.
 
Barcelona inatia huruma
hao barcelona sio wa kuwaonea huruma kabisa.....ni sawa na tajiri aliekuwa anany'ang'anya wake za watu na mali za watu pindi akifulia ni neema wala sio simanzi.....

sema hela hawana na academy yao sio stable kiasi hicho....ndio maana wanang'ang'ania Super league....
 
Teams starting line-up is out, and ours is as below;
The Real Madrid starting XI for the derby is: Thibaut Courtois; Dani Carvajal, Eder Militao, David Alaba, Ferland Mendy; Luka Modric, Casemiro, Toni Kroos; Marco Asensio, Karim Benzema, Vinicius
 
Atletico kama kawaida yao ninadhan watakuwa wanakuja sana bila kusahau jinsi wanavyokaba, so hio show tunamwachia Luka na mwezie Kroos waset tempo ya game kwa upande wetu.,
 
Tumekuwa na kipindi cha kwanza kitulivu sana, team haisogei sana mbele ama wakienda mbele ni kwa tahadhari, kwa kuwa Atletico wanatuvizia kwenye counter attacks, na kwa kuwa viungo wetu hawana speed kubwa sana basi ninaona Ancelotti ameamua kuchukua tahadhari,
 
Back
Top Bottom