Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Vini sitegemei kama atabadilika sana, kaanza kucheza ligi kuu kwao huko tangu ana miaka 16 hadi leo ana 21 na bado yupo vilevile, tegemea leo akicheza vizuri kesho hovyo. Rodrygo goli huwa analijua ni basi tu huwa hapewi sana nafasi.
Rodrygo kiukweli kwa goli analijua vizuri, shida kijana amekosa tu nyama, ninadhan atajaribu kufanya mazoezi kama mwezie Vini anavyofanya na alivyobadilika kwasasa,.
Vini uchezaji wake imeimarika, shida ana wenge sana.
 
Hata assist aliyopiga Camavinga nayo alitulia sana. Madogo wapo vizuri. Ni swala la muda tu.
Dogo jana alinifurahisha sana, yaani ile combination na Valverde utadhani wamecheza pamoja miezi kumbe hata week mbili hawana,
Kitu kingine nilichoona kwake, ni uwezo wake wa kukaba, ni mzuri sana pia kwenye eneo hilo, ninatamani dogo awe anaanza kisha tukipige. 4 4 2.
 
Yupo vizuri dogo tena pale bado hajakabidhiwa mikoba pale kati...ana style ya uchezaji kama pogba hivi..
 
Game yetu dhidi YA Valencia
The confirmed Real Madrid XI is as follows: Thibaut Courtois; Dani Carvajal, Eder Militao, David Alaba, Nacho; Fede Valverde, Casemiro, Luka Modric; Eden Hazard, Karim Benzema, Vinicius
 
Hazard amerudi kwenye starting XI, ila kwa upande wangu, ni kama Carlo amempa nafasi ya upendeleo tu, kwasababu game dhidi ya Celta Vigo alitakiwa kucheza wing ya kulia ila muda mwingi akawa anarudi sana wing ya kulia, acha tuangalie Leo labda atabadilika, kwa upande e wangu ningependa hiyo nafasi acheze Rodrygo, ama tucheza na viungo Wanne na washambuliaji Wawili.
HalaMadrid!!
 
Wakuu third kit ya Madrid ntaipata wapi ndani ya wiki hii,maana wameitambulisha juzi tu hapo naipata kweli kabla ya j5..
FB_IMG_16320422021803437.jpg
 
Jana tumeupiga mwingi kama hakuangalia game ya jana umekosa burudani Valencia wanajua , mpira ulikua na ufundi mwingi sana pasi za haraka kwema impossible angels , speed ya mchezo in short nme enjoy hata kama tunge fungwa nisinge umia
Jana aisee majukumu yalinibana nikashindwa kuangalia game yetu aisee, nilitarajia game ngumu sana kutoka kwa Valencia, huu ushindi ulikuwa wa umuhimu sana, ndio aina ya game zinazokupa ubingwa.
 
Back
Top Bottom