Acha kabisa.. Ilikua shughuli ngumu sana. Jamaa walitubana haswa. Walipotupiga lile moja nikajua ngoma imelala. Ila kama kawaida yetu, mpira unaisha pale filimbi inapoliaDogo amekuwa, sikufanikiwa kuangalia game, Leo baada jioni itabid niangalie marudio niwe na amani kiukweli, kuifunga Valencia home kwao ni shughuli pevu.
Kijana aliumia hata kabla ya msimu uliopita haujaisha, pre season yote alikuwa kwenye program maalumu ya matibabu, baadae ikaonekana kama yupo poa, game kabla Celta Vigo akapata tena shida, mpaka sasa haijajulikana atarudi uwanjani lini,Hiv huyu mendy aliumiaga nn mbona harud uwanjani muda sana?
Ancelotti amekusikia man, acha tuone uwezo wa Camavinga kuanzia mwanzo wa mchezo.,Natamani casemiro apigwe benchi leo
Asensio kapewa nafasi baada ya kulia sana. Ngoja tuone kama ana jipya ataleta mezaniReal madrid starting XI vsMallorca;
Courtois; Nacho, Militao, Alaba, Miguel Gutierrez; Camavinga, Valverde; Rodrygo, Asensio, Vinicius; Benzema.
Naona anafanya mamboAsensio kapewa nafasi baada ya kulia sana. Ngoja tuone kama ana jipya ataleta mezani
Kacheza vizuri hadi sasa.Kakusikia una msimanga
Kama akiwa na muendelezo mzuri namba ipo.Naona Leo Asensio na Benzema ni balaa tupu!
Hiv huyu mendy aliumiaga nn mbona harud uwanjani muda sana?