Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hii nafasi ya RB itafutiwe mtu itakuja kutu gharimu siku 1 Cavanjal ni injury prone Lucas anajitajidi japo sio nafasi yake ni mda wa kuleta mtu wa uhakika
Kabisa man, nafasi ya Hakimi hiyo man sema kwa kuwa club ilitaka kulinda Dan wakamtoa dogo kwa mkopo baadae ishu ya kubalance account ikabid auzwe Inter,Sasa hiyo nafasi imekuwa mwiba kwetu, Dani game mbili yupo fit anakaa week kadhaa majeruhi, Lucas sio defender kwahiyo anafanya kwa kiasi chake kama alivyofanya Valverde jana.,
Ilikuwa bora acheze Nacho huo upande na Dogo Miguel acheze left back, kidogo team ingepata balance iliyotakiwa.
 
Adjustments.jpg
 
Real Madrid's starting line-up (4-3-3): Thibaut Courtois; Nacho Fernandez, Eder Militao, David Alaba, Miguel Gutierrez; Fede Valverde, Casemiro, Eduardo Camavinga; Eden Hazard, Karim Benzema, Vinicius Junior
 
Hawa mamwela wa sherif mbona wanataka kutuchania mkeka asee.
Hao maboya kina Hazard na Vinicius ndio wanai cost team, wakifika karibu na box wanampita Benzema kama hawamuoni. Halafu wanakaa na mpira sana kama vile team inaongoza magoli.

Wapo kwaajili ya kuonesha vipaji individual, sio team work. Hii team kuna wachezaji anakufurahisha match mbili, halafu anakukera match 10 mamaqe.
 
Hawa jamaa wameamua kutulia kwao kisha wakipata mpira wanaanzia counter, Sasa game kama hii Hazard na Vinicius hawaziwezi, kwa kuwa Vinicius anataka apate nafasi akimbie, Sasa hakuna hiyo nafasi, hapo ni lazima atakuwa mzururaji uwanjani tu, hapo aingie Asensio na Rodrygo, Hawa wana uwezo wa kufungua defense ya upinzani zaidi kuliko hao wawili.
 
Back
Top Bottom