Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

The 33-year-old has been punished by Deschamps for his role in the Mathieu Valbuena saga, while Benzema's comments on the France boss when speaking to MARCA did little to calm the tensions between the pair.

Yet, according to L'Equipe and Le Parisien, and confirmed by MARCA, Deschamps has been thinking about the situation for some time and is ready to include Benzema in the squad for Euro 2020, one day after the striker was named the best French player playing outside of France.
Really...
 
Fuk dischamps...the guy would've world cup and Euro at this moment I tweet
 
This is our 20-man squad list for the final match of the season
VillarrealCF

E16emLeWQAYUH-F
 
Huu ubingwa wa safari hii sio mchezo, Atletico amepigwa nikafurahi kuja kushtuka na Sie tukapigwa, Sasa hapa wote tuna kibarua cha kushinda, acha tuone itakuwa vp mpka mwisho
 
Kama kocha wenu angeacha ujinga wa kumpiga benchi kisha kumtoa kwa mkopo Bale basi ligi kuu ilikuwa yenu bila shaka
 
Huo ni mtazamo wako tu, ila si ajabu angekuwepo asingecheza kabisa, Bale hawezi tena kujitoa kwa club so ishu ya kumtoa kwa mkopo ilikuwa sahihi kabisa,, msimu unaokuja tutamtoa Hazard pia either auzwe mazima ama atolewe kwa mkopo, Jersey ya Real Madrid imekuwa nzito sana kwake
 
#MICHEZO Zinedine Zidane (48) ameachana na Real Madrid ikiwa ni mara ya pili. Alifundisha kati ya Januari 4, 2016 mpaka Mei 31, 2018 na alishinda mataji 9 ikiwemo #UCL mara 3 mfululizo. Awamu ya pili alianza Machi 11, 2019 - Mei 27, 2021 akishinda mataji 2, ikiwemo #LaLiga 1 https://t.co/abH2hCmGWs
 
Allegri nae kumbe ni muhuni mmoja tu 😆 juzi anahojiwa akasema hana tena mpango wa kurudi Italy kwahiyo anatazamia kwenda Madrid kutegemea na hatma ya Zidane, leo tena tunasikia kabadili gear angani karudi Juve 😂 ila sishangai waitaliano ndio zao 😆
 
Wazee ligi ishaisha muda wa kujipanga kwa msimu ujao ila nimatamanio yangu kumuona Kylian Mbappe ndani ya bernabeu
Kwa Madrid hata ije kukaa sawa baada miaka 10 hatuna shaka na nyie viazi mnaotufatia....yaani miaka 10 bado haitoshi hata ku equaliser mafanikio yetu.
 
#MICHEZO Zinedine Zidane (48) ameachana na Real Madrid ikiwa ni mara ya pili. Alifundisha kati ya Januari 4, 2016 mpaka Mei 31, 2018 na alishinda mataji 9 ikiwemo #UCL mara 3 mfululizo. Awamu ya pili alianza Machi 11, 2019 - Mei 27, 2021 akishinda mataji 2, ikiwemo #LaLiga 1 https://t.co/abH2hCmGWs
Ninamtakia kila la heri, Real Madrid ni kama nyumbani, anakaribishwa wakati wowote.
Acha club ifanyie kazi ishu ya Mwalimu mpya na kikosi kwa ajili ya msimu ujao
 
Allegri nae kumbe ni muhuni mmoja tu 😆 juzi anahojiwa akasema hana tena mpango wa kurudi Italy kwahiyo anatazamia kwenda Madrid kutegemea na hatma ya Zidane, leo tena tunasikia kabadili gear angani karudi Juve 😂 ila sishangai waitaliano ndio zao 😆
Nyumbani ni nyumbani tu japokuwa tulikuwa hatuna makubaliano nae ya moja kwa moja., bado tuna options nzuri tu kwa ajili ya Mwalimu, na kama ikishindikana kabisa Raul yupo kuziba hiyo nafasi.
 
Back
Top Bottom