Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kuja kubeba Tena UEFA labda mnunue lakini kwa uwanjani utachukua miaka Kama 10 hivi.
Sie hatuna shida na hilo, kwani unadhani ilituchukua miaka mingapi mpaka kuja kuchukua kombe namba 10? Ila jua tukianza kutukianza kuchukua tena ni mpaka muombe poo., kwanza mna kazi ya kuvunja record zetu, kwanza mchukue mara 3 mfululizo ama kujaribu tu kutetea kombe lenu msimu ujao kisha mchukue vikombe vingi mpaka mtufikie.
 
Miaka 10 sio ajabu huoni kunatimu toka zianzishwe miaka hiyo zimebeba mara 2 tu.
Hahaha, ataona wapi Mzee, hii ni mara ya pili wamechukua kwanza kwa tofauti ya miaka 10 toka wachukue taji la kwanza, halafu anakuja kututambia si unaweza kuonekana kituko?
 
Hahaha, ataona wapi Mzee, hii ni mara ya pili wamechukua kwanza kwa tofauti ya miaka 10 toka wachukue taji la kwanza, halafu anakuja kututambia si unaweza kuonekana kituko?
Achaneni na hawa wazee wa kuotea.. Msijeshangaa msimu ujao wakapoteana kama kawaida yao...
Kubishana kati ya Madrid na hivi vitimu vya England ni sawa na mtu mwenye busara zake abishane na vitoto.
 
.....
footballsoccermeme-20210608-0001.jpg
 
Romano: Ramos will leave Real Madrid and tomorrow will be his farewell in press conference
 
Muongo mkubwa wewe!!
Tatizo lako unakurupuka, umesikia maelezo aliyotoa??
Mwanzoni alikataa mkataba wa mwaka, badae akabadili maamuzi, ila club ilishafanya maamuzi tayari, by the time anakubali tayari club ilishaamua kumuacha aondoke.. So uwe unasoma habari badala ya kusoma kichwa cha habari tu.
 
Back
Top Bottom