Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Dan yupo na atacheza j5,ila sio wa kuweka imani sana kwake maana majeraha msimu huu yamemuandama sana.

Combination ya Lucas kama FB na Asensio hua inanoga sana.
Yeah, Kijana bana tunaweza tusimuone tena kwenye uzi wetu endapo hatafikia makubaliano na club juu ya mkataba mpya.
Sasa tumebakiwa na Ordiozola na mpaka sasa haijajulikana Dan atarejea lini.
 
Dan yupo na atacheza j5,ila sio wa kuweka imani sana kwake maana majeraha msimu huu yamemuandama sana.

Combination ya Lucas kama FB na Asensio hua inanoga sana.
Mkuu unamzungumzia Dani Carvajal ama? Kama ni huyo jamaa bado hajapona man, na hata kwenye kikosi kinachoenda kucheza na Liverpool hajaitwa, aliyeitwa ila japokuwa bado ana majeraha ni Federico Valverde, na huyu inasemekana atadungwa sindano ya kutuliza maumivu ili acheze, na anategemewa kucheza beki ya kulia kuziba nafasi ya Vasquez.
 
Kama Varane karudi Nacho ana weza switch pembeni pia Mendy anaweza cheza upande huo Marcelo aka kamua left
 
Varane bado hatakuwepo, option tuliyonayo ni labda Zizou apange beki 3 yaani Mendy Nacho na Militao, huku Marcelo na Ordiozola wakicheza kama wing full backs.
Ila sioni Zizou akifanya hivyo, anaweza akatushangaza tena, kwasababu jamaa kila siku anakuja na kitu kipya
 
Mbona Ramos mzee wa vitasa hamu taji. Na yeye anaumwa? Kwahiyo mabeki tulionao ni hao hao tu wanne? Hakuna wengine?
 
Ramos pia hatakuwepo Mkuu, bado ana majeraha kama haitoshi juzi kakutwa na maambukuzi ya ya virusi vya Corona kwa hiyo mabeki waliobaki ndio hao ila msiwe na shaka watatuvusha.
 
Our first eleven for today match;
Real Madrid's starting XI: Thibaut Courtois, Fede Valverde, Eder Militao, Nacho, Ferland Mendy, Casemiro, Toni Kroos, Luka Modric, Marco Asensio, Karim Benzema, Vinicius
 
Bro habari.
Muda exact wa kuanza game ni saa ngapi. Livescore naona saa nne kamili. Nimepita kibanda umiza naona wameandika saa tano kamili. Hata mlango wa banda hawajafungua.
Game ni saa Nne Kamili Mkuu kwa saa za Africa Mashariki, hao watakuwa wamejisahau tu.
Tafuta sehemu nyingine usikose uhondo
 
Wakuu nimeshindwa kuvumilia.

Siwezagi kutazama mechi muhimu ya timu nayoshabikia bila kuwa na pressure sana. Moyo unakua unadunda.

Halafu nikiangalia Ramos hayupo.
Carvajal hayupo. Vasquez hayupo.
Varane mzee wa maboko hayupo.

Niimeenda kibanda umiza nimekaa dakika tano tu kabla hawajaanza kuchangisha kiingilio nikasepa.

Niko tayari kupokea matokeo yoyote nikiamka asubuhi.
 
Real Madrid team bus attacked by Liverpool supporters on its way to Anfield

Real Madrid's team bus taking the squad to Anfield ahead of their Champions League quarter final second leg duel was attacked by Liverpool supporters.

Fans waited Los Blancos with flares and some of the objects thrown at the bus damaged the windows.

At least one window is said to have been broken as a result.
 
IMG_8001.jpg
 
Madrid imecheza kama ilivyocheza na Liva ile fainal ya UCL mwaka 2018.
Madrid iliwaacha liva icheze mpira.
Ni imani yangu mechi na chelsea akili kubwa na nidhamu kubwa inahitajika maana madogo wa THE BLUES wana njaa na hili kombe.
Dogo valverde mzuri aisee amejitahidi na ameonyesha yupo tayari kutumika kwa nafasi zaidi ya moja.
 
Chelsea tunamtafuna
 
Back
Top Bottom