Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,363
Tunawanyoa hawa Wacatalan kwa style ya aina yake, hatutaki mbwembwe nyingi yaani
Jaribu hesgoal.comLink gani inaonesha?
Nusu fainali Porto hasumbui...na hakuna wa kusumbua kati ya waliobaki mbele ya Madrid...Kumbe hii timu ina mashabiki? Jiandaeni kisaikolojia nusu fainali ya uefa
Jaribu hesgoal.com
Hili jamaa na ubora wake wote haitwi timu ya taifa.Huyu mtu sometime...ila Zidane anatakiwa amtumie sana Vini anaweza kutuhakikishia ushindiView attachment 1748814
2-1Kwan matokeo yamekaaje huko
Hopefully Ordiozola ataziba pengo la Lucas Vasquez vema. HalaMadrid!!
Na la liga 2020/2021 imeisha ua nasema uongo ndugu zangu. Nileteeeeeeeeeni Prof.Assad😂😂Zama za Messi zimeisha.
Kroos na modric ni wachawi wa mpira kwa era hii.....ubarikiwe Sana mkuu kwa mchango wakoCasemiro ni MWAMBA.
Combination ya Nacho na Militao inasaidia sana, hawana makosa mengi na wanajitahidi kukabiliana na pressure.
Vini kaanza kukua.
Kroos na Modric ni wachawi wa mpira kwa era hii.
Anaweza kucheza timu yoyote Ile ya taifa ila pale Ufaransa kuna maugomvi yao ya scandal..ndo yanayom coatHili jamaa na ubora wake wote haitwi timu ya taifa.
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Modrić kwa sasa ana miaka 35 Mkuu, anakimbilia 36 muda sio mrefu., lakini bado yupo vizuriModric ana miaka 33 bado mtamu kwenye la liga na UCL meanwhile Xavi na Iniesta wakiwa na miaka 33 tayari walikuwa kwenye ligi za Asia.
Arafu mtu mmoja toka Catalonia asema zile tuzo za Modric alibebwa
Mwenyewe ninaombea hilo Mkuu, game ya marudiano dhidi ya Liverpool anahitajika sana, Ordiozola anakaba kwa macho sana, acha tusubiri vipimo manTuombe Lucas awe hana majeraha makubwa, anasaidia sana huyu bwana mdogo