Varane bila Ramos ni uchochoro , atacheza Nacho na MilitaoBreaking:
Varane akutwa na maambukizi ya Covi-19.
Ataukosa mchezo wa leo dhidi ya liverpool na weekend dhidi ya Barcelona.
Kazi Ipo.
Hiiiiiiiiiiii ahaaaaaa. Mbona twafaaaaa. Nani sasa nacho anajisahau sana. Sema uwezo wake kucheza namba viraka ndo unambakiza hapo madrid. Mm namwonaga mchovu aseeBreaking:
Varane akutwa na maambukizi ya Covi-19.
Ataukosa mchezo wa leo dhidi ya liverpool na weekend dhidi ya Barcelona.
Kazi Ipo.
Juzi game dhidi ya Eibar walicheza Mendy Nacho na Militao kama center backs na walicheza poa tu, Nacho kwasasa yupo kwenye kiwango bora sana, amecheza kwa muda sasa hiyo nafasi since Ramos mara nyingi amekuwa nje kwa majeruhi, ila ishu yake ya kujisahau kama siku hizi haipo, so nina Imani na vijana wetu watakuwa na game njema tuVarane bila Ramos ni uchochoro , atacheza Nacho na Militao
Suala lilipo hapo ni kucheza kiteam zaidi, tunatakiwa tu control game kuanzia kwenye kiungo, tukiweza hilo kwenye kukaba hatutakuwa na shida sana,Hiiiiiiiiiiii ahaaaaaa. Mbona twafaaaaa. Nani sasa nacho anajisahau sana. Sema uwezo wake kucheza namba viraka ndo unambakiza hapo madrid. Mm namwonaga mchovu asee
Tuliza mshono, nyie kaeni kwa kutulia hivyo hivyo mpaka weekend hii tuje tuwanyoosheLeo nyie kima mnafungwa
Wewe mwisho wako ndo umefika.Tukutane fainali.
Aje Porto, Aje Chelsea wote ni kichapo tu
Naikubali💪💪💪Real Madrid line-up:
1. Courtois
3. E. Militão
6. Nacho
8. Kroos
9. Benzema
10. Modrić
11. Asensio
14. Casemiro
17. Lucas V.
20. Vini Jr.
23. F. Mendy.
Dogo leo kacheza ki utu uzimaTeam inacheza kwa nidhamu huku wakitafuta nafasi, hatufungi magoli mengi ila team inajitahid na inacheza vizuri, hatimaye Vinincius ameona lango, umakini unahitajika zaidi na kucheza kwa maelewano. #HalaMadrid!!
Dogo bana Leo kwanza alikuwa hana mbwembwe nyingi, kama alitumwa hivi na akafuata maelekezo. Ndio inavyotakiwa sasa sio kila siku kukosea yeye tuDogo leo kacheza ki utu uzima