Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,363
Usihofu tupo kwenye michuano yetu, kila mtu ashinde game zake kisha tukutane.Wewe mwisho wako ndo umefika.
Usihofu tupo kwenye michuano yetu, kila mtu ashinde game zake kisha tukutane.Wewe mwisho wako ndo umefika.
Catalan wepesi sana kama tuna kipiga na Granada tuKwasasa tunaweka akili yetu kwenye El clasico Jumamosi hii kisha tuje tumalizane na hawa majamaa week ijayo.
Hiiiiiiiiiiii ahaaaaaa. Mbona twafaaaaa. Nani sasa nacho anajisahau sana. Sema uwezo wake kucheza namba viraka ndo unambakiza hapo madrid. Mm namwonaga mchovu asee
Nacho amekuwa kwenye kiwango bora sana msimu huu, amecheza kwa umakini Mkubwa sana msimu huu toafuti na misimu iliyopita, Ni matumaini yangu kuwa yeye na mwenzie Militao watakuwa na game bora pia kwenye Clasico na game inayofuata pale AnfieldUnatakiwa umuombe samahani Nacho, jamaa kakua kwenye club. Underrated lakini ashaziba sana viraka. Ukimuondoa Nacho muweke Vazquez, hao watu responsibility zao zinafanana pale Real Madrid. Yaani hata Cortois akiumwa hao watu wape gloves tu watakaa golini
Nyie jipangeni sana mtachezea nyingi tukikutana.
Nipigieni Liverpool kwanza halafu mje tuwabutue za kutosha
#CFC
Catalan wepesi sana kama tuna kipiga na Granada tu
Wakatalani sasa hivi viroho vinawadunda. Wanachonga sana lakini wanajua kabisa kwamba kipigo kinawasubiri. Nakumbuka el classico ya mwisho kupigwa the Bernabeu Zidane fullback ya kushoto alimweka Marcelo. E bhana aliutandika mpira siku ile. Yaani box to box. Muulize huyo Messi wao, kila wakikutana, Marcelo anachukua mpira miguuni. Ndio maana namweshimu sana Zidane, anaweza kukupa lineup mwenyewe usiamini. Watakachokutana nacho Barcelona pale Di Stafano tutacheka sana. Yaani, I can't wait to see Gerald Pique anaenda mwenyewe nyavuni kuokota mipira
Mkuu hii Chelsea ya sasa haijapoteza game hata moja UEFA.Chelsea ilikuwa bora miaka ya mwanzo ya 2000. Sasa hivi mmebaki kujipa moyo tu
Kumradhi NACHO.....🙏🙏🙏🤲🤲Unatakiwa umuombe samahani Nacho, jamaa kakua kwenye club. Underrated lakini ashaziba sana viraka. Ukimuondoa Nacho muweke Vazquez, hao watu responsibility zao zinafanana pale Real Madrid. Yaani hata Cortois akiumwa hao watu wape gloves tu watakaa golini
Hii game tumeshashinda.
Kinachosumbua hapa kuna game mbele ya Atletico na Barcelona. Naombea watoke sare
Wewe tulia kama kawaida ya Madrid, ikifika fainali haichi kitu.Kumbe hii timu ina mashabiki? Jiandaeni kisaikolojia nusu fainali ya uefa