Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ew70MMrWQAIPjPk
 
It's never easy to play at Balaidos. We're very happy with the victory though. We managed to go 2 goals up and we sadly conceded but we played well and got the win. Next fixture, at home against Eibar
 
Aka ka Vinincius kanakera mpaka basi, yaani mpira na nyavu kanakosa goli halafu kanakenua tu. Yaani hii game ilibidi tumalize tangu first half.
Dogo bana loo, huwa mpaka ninachoka man, Kijana kajaliwa speed na anaweza kukokota mpira vizuri tu, shida ni kwenye kufunga na kutoa pasi za mwisho, yaani anafanya kazi nzuri anashindwa kuzalisha, halafu anavyoudhi sasa akikosa utaona anakenua tu kama hakuna kitu kilichotokea. Ninatamani hiyo speed yake angekuwa nayo mwezie Rodrygo kwasababu huyu akifika mbele ya goli PA upinzani angalau atafanya kitu kizuri
 
Huyu dogo ni matako sana habadiliki hata sio utoto ni ujinga unamsumbua me hua nikimuona kwenu line up nakwazika
Ninadhani ni muda sasa kufanyia kazi hayo mapungufu yake, kama aliweza kukodisha kocha wa viungo basi na hilo anaweza kulifanyia kazi, kwasababu ni fedheha kwa kweli
 
GOOOOOOAAAAAAAAAAAL MARCOOOO ASENSIOOOOOOOO. Super sub mood. 1-3
Hii game ya Celta ilinipa shida sana, kipindi cha pili tulizidiwa kweli kweli, Zidane akaamua kufanya sub moja tu huku akimwacha Vinincius aruke ruke uwanjani wakati ana Rodrygo nje ama Isco, na refa alivyokuwa wa ajabu nusura atutoe mchezoni na ile foul ya kijinga aliowapa Celta Vigo. Sasa tuombe vijana wetu waende kwenye team zao za Taifa warudi salama kwasababu tuna game za hatima yetu mwezi wa Nne
 
Dogo bana loo, huwa mpaka ninachoka man, Kijana kajaliwa speed na anaweza kukokota mpira vizuri tu, shida ni kwenye kufunga na kutoa pasi za mwisho, yaani anafanya kazi nzuri anashindwa kuzalisha, halafu anavyoudhi sasa akikosa utaona anakenua tu kama hakuna kitu kilichotokea. Ninatamani hiyo speed yake angekuwa nayo mwezie Rodrygo kwasababu huyu akifika mbele ya goli PA upinzani angalau atafanya kitu kizuri
Huyu anatakiwa apewe maelekezo kuwa kazi yake nikuassist tu kufunga ni pakiwa hakuna mchezaji zaidi yake kuanzia eneo la 20 kirudi chini.
 
Back
Top Bottom