Kuna chance alikosa hadi Ramos akajiangusha chini kwa masikitiko huku akipiga chini.Tunataka kuona magoli mawili zaidi to secure the game and be intertained. Huyu Vinincius angekuwa na finishing touch angekuwa mtamu sana. Sema huyu hawezi kubadilika tena huyu.
Yule mtoto anatakiwa ajue kuwa ana wajibu wakuassist tu...yeye nakufunga wana uaduiKuna chance alikosa hadi Ramos akajiangusha chini kwa masikitiko huku akipiga chini.
Ramos ni mswahili alafu muhuni yaan.
#Madrid for UCL and Atletico for Laliga #
Ni umri tu akipata advicers wazuri atakaa sawa ila sio kwa jokes za Ramos.Yule mtoto anatakiwa ajue kuwa ana wajibu wakuassist tu...yeye nakufunga wana uadui
Kumekucha je tutaweza?
Liverpool kachoka tutampiga tuuu. Lazima tufike final😆Kumekucha je tutaweza?



Sisi haturuki step, ni hatua baada ya hatua, waliopo mbele yetu kwa sasa ni Liverpool, acha tumalizane nao kwanza kisha na nyie malizaneni na Porto kisha ndio uje tujadiliane.Madirid nipigieni Liverpool ili nikutane na nyie niwapige.
#CFC![]()
Ndio ndio mpasueni liverpool za kutosha halafu mje darajani pale tuwanyooshe.Sisi haturuki step, ni hatua baada ya hatua, waliopo mbele yetu kwa sasa ni Liverpool, acha tumalizane nao kwanza kisha na nyie malizaneni na Porto kisha ndio uje tujadiliane.



Huo uwezo wa kutunyoosha hamna, tupo kwenye mashindano yetu so kuweni makiniNdio ndio mpasueni liverpool za kutosha halafu mje darajani pale tuwanyooshe.
#CFC![]()