Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

EwYAuTyWUAgASjn
 
A second-half brace from Benzema secures a dramatic comeback win!
 
What kind of Fan are you?
Timu ikifungwa goli moja tu ushaanza kung'aka. Hata mchezo haujaisha.
Wewe unataka timu iwe inafunga tuuuu isifungwe hata goli moja?

Sio hivyo mkuu, umeangalia first half? 45 minutes sikuona shot on target, wameamka baada ya kupigwa kidude. Na hii ilikuwa kidogo tu jamaa waondoke na pointi moja. Hii timu bado ugonjwa wa moyo kaka. Enzi zetu hawa tunatia 4 bila
 
Mi naona Laliga msimu huu hatuna chetu tena. Tukomae na UEFA tu. We unasemaje?
 
Bado sana mkuu, tuna mechi kumi na moja kumaliza la liga, japo tunasuasua, lakini tuache tu namba ziongee. Na huko kwenye UEFA next game ndio inaweza kuonyesha tuko vipi kwenye mashindano, maana Atalanta nao wako vizuri.
 
Tusubiri draw ipangwe.....
Zamani club nyingi ziliogopa kupangwa na Madrid ila zama izi kama vile kila club inataka kupangwa na madrid.
Zama zinabadilika vijana wetu walio kwenye mikopo( LOANEE) wameshaiva warudi mwisho wa msimu.
Utabiri wangu nahisi timu za spain kukutanishwa hatua ya robo fainali zenyewe kwa zenyewe.
 
Timu ya Spain inayosonga mbele ni Madrid tu mkuu

Back
Top Bottom