Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

The stage is set, and we're buzzing for derby day


EpDzEBiWMAsgKlS
 
Ramos na Casemiro ndio ngao zetu, wakikosekana hawa hali hua ni tete.

Kupona kwa Fedrico kunatoa tumaini jipya la rotation pale kati.

Kroos na Modric wanazeeka na utamu wao, wanajua.

Dani ni beki mzuri sana ila hasemwi sana.


Hivi kwanini Militao hapangwi, baada ya Varane kua anatoa boko sana nilidhani Zidane inabidi awapange Ramos na Militao ili Militao apate experince kutoka kwa faza.

Atretico ndio ilikua timu bora mpaka sasa kwenye La liga lakini wamekaa, kipindi cha kwanza wametafuta sana mpira kwa tochi.
 
Kuna mda namuelewa sana Zidane kwa kikosi hiki world class players tunao wachache bado tuna pambana akipewa pesa alete strikers wa maana tunarudi kwenye form yetu
 
Champions League last-16 draw

Borussia Monchengladbach v Manchester City

Lazio v Bayern Munich

Atletico Madrid v Chelsea

RB Leipzig v Liverpool

Porto v Juventus

Barcelona v Paris St-Germain

Sevilla v Borussia Dortmund

Atalanta v Real Madrid
 
Back
Top Bottom