afadhali ndanda kuliko timu yenu nyie ni singida united iliyochangamka
Wakati unasema haya inatakiwa nawewe utaje timu yako tuitathimin kama unapaswa kutunanga au ndio walewale tu
afadhali ndanda kuliko timu yenu nyie ni singida united iliyochangamka

Yaani ukishangaa ya Madrid unakutana utopolo original kutoka Catalonia. Nimepitia kwenye mitandao naona wanalialia tu eti Refs hakuwafanyia haki. Sijui lini wataacha kulia
Wale siku wakipigwa 5 bila ndio ntaamanika
Kama Vinicious jana kacheza ovyo tu..sijui kwanini hakumtoaZidane katuangusha sana, wale siku hizi ni watu wa kubomoa kumi bila
Hii mi naiona tofauti na wewe.. Dogo amekua msumbufu sana mechi za hivi karibuni, kwahiyo inawezekana jamaa walijiandaa kumdhibiti, hawakumpa space kabisa. Ila ikawa msaada kwa wengine kua free.Kama Vinicious jana kacheza ovyo tu..sijui kwanini hakumtoa