Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Between the BBC Bale was the worst attacker. Yes I can say it louder and louder. With Cristiano Ronaldo abd and, Bale was the worst one
I strongly disagree with you. Bale was a very important attacker to us.
Ni kweli huwezi kusema anauwezo sawa na cr7. Ila yeye Kama yeye amerufanyia Mambo mengi ambayo yametupatia vikombe.

Tatizo lenu nyinyi mashabiki Lia Lia wa cr7, mtu akiingia kwenye ugomvi was kutompa pasi Ronaldo Basi mnamchukulia hajui mpira.

Najua unamtetea benzema kwa sababu hakuwahi kuingia kwenye mgogoro wa kumnyima pasi cr7

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
A

Kwanza niombe samahani, mimi sio fanboy wa Ronaldo na kila mtu kwenye huuuzzi anajua. Bale alikuwaga anacheza the best team in the world. Ile team hata Lucas Vazquez anashaini. Kama Bale anaweza kuipeleka Spurs to final of Champions league, I swear to the Lord, I will eat my words

Achana na Real Madrid kakw
 
Kwan benzema amewahi kuipeleka timu gani fainali akiwa nje ya Madrid?

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
afadhali ndanda kuliko timu yenu nyie ni singida united iliyochangamka
 
ni wakati wa zidane kupisha na wengine wajaribu kitu kipya team imekua ikicheza levek za chini just imagine hatujafunga goli tatu kwa mida gani so leo hakuna draw hapo.

Naona kama kuamini zidane alibebwa na quality ya wachezaji na si kingine kabisa sasa we ata timu kutengeneza chance za ushindi hakuns ni utopolo
 
Back
Top Bottom