Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

1st goal. Vinicius
1601822625551.gif
 
Haya makelele ya kulia kuhusu James au Bale yaishe kwasababu jamaa walikuwa kwenye squad lakini hawa kujituma, kwahiyo bora wakae hukohuko
Mkuu, Hio Sio Kauli Ya Sawa!!!!!!!
 
Mkuu, Hio Sio Kauli Ya Sawa!!!!!!!

Mkuu mimi naangalia kila mechi ya Real Madrid hata kama ni ya kirafiki kwa msimu wa 12 sasa. Bale was the worst attacker between the BBC. Since the time of Ancelotti Bale was a dought. James was a question since he joined the squad. Kulikuwa na ubishi nani aanze kati ya Isco au yeye. Isco is a lazy and everyone knows, sasa kama watu wana kupambanisha nae, you're not a Real Madrid material.
I don't like the way they used to trash Zidane while we were champions already
 
Mkuu mimi naangalia kila mechi ya Real Madrid hata kama ni ya kirafiki kwa msimu wa 12 sasa. Bale was the worst attacker between the BBC. Since the time of Ancelotti Bale was a dought. James was a question since he joined the squad. Kulikuwa na ubishi nani aanze kati ya Isco au yeye. Isco is lazy and everyone knows, sasa kama watu wana kupambanisha nae, you're not Real Madrid material.
I don't like the way they used to trash Zidane while we were champions already
Acha siasa chief!!!Watu wanaifatilia hii timu kindakindaki kuliko unavyofikiri.

Yani, kisa upo active katika jukwaa, ndio uwe na uthubutu wa kutuambia eti usajili wa James ulikuwa wa mashaka tangu mwanzo!

Hili si wewe tuuu, mostly jamaa mlio active sana, hata majukwaa mengine yale, Arsenal, Man U, Chelsea, Barca n.k, Yani raia mlio active hamtaki "kuchalenjiwa". Its like nyi ndo mna mapenzi sanaaaaa na timu.Acheni uduanzi.Huku mtaani, kuna watu, wana mapenz ya timu kiasi kwamba hata akikukuta unacheza PS, af ukachagua timu anayoipenda,mfano Arsenal, af ukafungwa, anaumia!!!!!!!!Na hiyo ni play station tuuuu.
 
Sikusema usajiri wa James ulikuwa na mashaka, No. Alivyokuja Bernabeu alikuwa talk of the season, but he did not show us what we were expecting. Mechi moja alicheza poa nyingine akaboronga, na kadri siku zilivyokwenda ndio alikuwa anaendelea kuharibu. Mwisho akahamia kwenye media kulialia kitu ambacho kwa professional player akitakiwi. Nimesema kama kipindi hicho yupo kwenye pick alishindwa kumuweka benchi Isco, sasa hivi ya nini mumpe lawama Zidane?
 
Mkuu mimi naangalia kila mechi ya Real Madrid hata kama ni ya kirafiki kwa msimu wa 12 sasa. Bale was the worst attacker between the BBC. Since the time of Ancelotti Bale was a dought. James was a question since he joined the squad. Kulikuwa na ubishi nani aanze kati ya Isco au yeye. Isco is a lazy and everyone knows, sasa kama watu wana kupambanisha nae, you're not a Real Madrid material.
I don't like the way they used to trash Zidane while we were champions already
Are you serious Bale, the worst attacker?

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Nafikiri tuliichukulia poa sana Càdiz, lakini pia tuelewe kwamba hatuwezi kumaliza league unbeaten!
 
Back
Top Bottom