Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,078
Kesho chama linarudi uwanjani likiwa full mkoba full mauaji ..nimemiss kufurahi na kukosa furaha na madrid
Wapo vzuri nlikua na angalia Real Madrid TV vijana wana spirit ya juu sanaSijui viwango vimeimarika au vimeshuka. Box to box up coming mid field valvede dogoo namwelewa sana yuleee
Wapo vzuri nlikua na angalia Real Madrid TV vijana wana spirit ya juu sana
Sawa it's like wewe ndio una gawa makombeBahati mbaya hawachukui kombe lolote mwaka huu masikin! Naumia kweli
Sawa it's like wewe ndio una gawa makombe
Real Madrid vs Eibar - HesGoal.COM Sports NewsWakuu napitwa na uhondo. Naomba mwenye link ya mpira wa madrid anitumie.
Asante sana mkuu; ngoja niingie live now.
Timu imecheza vyema,inaendelea kuimarika baada yakurudi kutoka katika mapumziko ya lazima.
tumeshinda ngapi wakuu
Upo sahihi kabisa. Tungecheza na timu nzuri ingekula kwetu. Hatutengenezi passing spaces, na tunaacha gapes sana za kupenyeza mipira. Tungecheza na timu ipo clinical tusingepona. Hope tuta improve with time.Tall sema tumepata pointi tatu, lakini kiukweli hii timu wachezaji wenye mishahara mikubwa ndio wanazingua kabisa, kwa mfano, huyu Bale alifuata nini uwanjani? Si bora angepewa nafasi mtu kama Brahim au Mariano.
Upo sahihi kabisa. Tungecheza na timu nzuri ingekula kwetu. Hatutengenezi passing spaces, na tunaacha gapes sana za kupenyeza mipira. Tungecheza na timu ipo clinical tusingepona. Hope tuta improve with time.
vp popoma bado upoAchana na ushabiki mavi, tunaangalia uhalisia!