Utakufa kwa roho mbayaDah raha Sana pale mnahisi kama maybe mnaweza kuchukua ligi....just maybe
Vipi leo Betis wamewafanyaje?
Still leaders?? HahahahahahahahaLA LIGA LEADERS!!! VAMOSSS MI MADRID!!!
Vipi kwa ulivyoangalia mech ya leo bado unaona jamaa ana roho mbaya au ni msema kweli tu?
Mbona mmetelekeza uzi wenu jamani HALA MADRID mpo wapi?