Mama Debora
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,481
- 2,608
Madrid tutaelewana tuu taratibu apo de stefano hatoki mtu
Unasema hivi kwa kuwa tumeshinda game ya Jana. Ngoja tupoteze nitarudi tena kwenye hii comment yako.

vp popoma bado upo
Tulia wewe bado wana game na AtleticoUnajua nini...
Ushindi usiokua na faida kwangu naonaga loss tu. Loss ya muda, nguvu na pesa.
Sasa kama Madrid tunashinda game zetu, na Barca nao wanashinda zao kama kawa maana yake nini. Kombe wanabeba wao.
Sasa hizi shindi zenu zinakua hazina maana.
Sio kweliUnajua nini...

Tulia wewe bado wana game na Atletico
Wanabeba vp wakati Laliga ina amuliwa na matokeo ya home and away msimu huu tuli draw kwao wakaja home tukawachapaUnajua nini...
Ushindi usiokua na faida kwangu naonaga loss tu. Loss ya muda, nguvu na pesa.
Sasa kama Madrid tunashinda game zetu, na Barca nao wanashinda zao kama kawa maana yake nini. Kombe wanabeba wao.
Sasa hizi shindi zenu zinakua hazina maana.
Kombe letu lipo kwa mkopo next season. tuna lihitaji kwa kila maliSijui zizou kajipanga vipi na kikosi kizima cha madrid na benchi la ufundi. Kama nia ya dhat ya kuchukua la liga ipo basi tukubali uefa itupite ili tubaki tunafocus kitu kimoja. Msimu wa 2013/2014 atletico mpango wao kuchukua la liga ulifika malengo licha ya kucheza vizuri fainal ya UCL. Nadhani UCL itupite kwa heri tukomae na la liga. Msimu ujao turudishe waliopo kwenye mikopo tuje sasa tulirudishe kombe letu lile la jana na leo na milele daima amina
Hata kama tukishinda 0-1 bingwa ni sisi Spain kigezo cha magoli ni cha pili baada ya head to head cha msingi tushinde kila game zetu zote zilizo bakiWakuu hapa unahitajika ushindi wa si chini ya goli 4-0 ili kurudi kwenye usukani wa Laliga na kuweza kujihakikishia ushindi wa Laliga. Kesho hakuna msalia mtume timu ijitume dhidi ya vijana watukutu Real Sociedad.
Kumbe wao wanatumia sheria ya head to head then inafata ya magoli.Hata kama tukishinda 0-1 bingwa ni sisi Spain kigezo cha magoli ni cha pili baada ya head to head cha msingi tushinde kila game zetu zote zilizo baki
️Kama huyuKwahiyo wakishinda hiyo game wanabeba ndoo!! Daah itakua mara ya tano mfululizo. Tangu 2015 wao tu. Qmamae
Uwe unauliza mkuu.Unajua nini...