Platnam
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 769
- 1,239
Hii game ilikua ngumu sana kwa game tulizobakiza.. Harufu ya ubingwa inasikika kwa sasaLeo tunagame naona kimya
Hii game ilikua ngumu sana kwa game tulizobakiza.. Harufu ya ubingwa inasikika kwa sasaLeo tunagame naona kimya
Yes, angalia table ilivyo sasaKumbe wao wanatumia sheria ya head to head then inafata ya magoli.
Unajua nini...
Ushindi usiokua na faida kwangu naonaga loss tu. Loss ya muda, nguvu na pesa.
Sasa kama Madrid tunashinda game zetu, na Barca nao wanashinda zao kama kawa maana yake nini. Kombe wanabeba wao.
Sasa hizi shindi zenu zinakua hazina maana.
Nimekupata mzee. Cha muhimu sa ivi tuhakikishe tunashinda game zilizobakiYes, angalia table ilivyo sasaView attachment 1485614
Naomba kujua game zilizobaki tupo na nanii kwe la liga. Maana kutoka group moja la wana madridstaa nililopo naelezwa zizou anampango wa kutoa ushindani mkubwa makombe yoote ambayo bado tunashiriki ndo maana anafanya rotation ya squad yake. Hili mimi naona tutakosa vyoote. Afocus kwenye la liga tuu. Uefa ndo kombe letu hata mtoto ambae hajazaliwa anajua ilo ila sasa msimu huu matumaini yamebaki ncha ya sindano.
Hata mimi naliona hilo. Pale ndo mwisho wetu. Labda kama ipo miujiza kwenye soka nitakubali. Sasa iyo rotation ya zizou sipingani nayo lakini iwe ni kwa ajili ya la liga. Naona UEFA ni maji marefu. Napo tukifocus kwa UCL tunaweza kosa vyoote.Hatuwezi kabisa kumfunga Man City 2-1 pale Etihad?
Hatuwezi kabisa kumfunga Man City 2-1 pale Etihad?
Hakuna mtu hapoTayari umebadili gia angan
Wakuu, naomba mwenye LINK ya kutazama mpira wa Madrid anisaidie tafadhali.Real Madrid XI: Courtois; Carvajal, Varane, Sergio Ramos, Mendy; Modric, Fede Valverde, Hazard; Bale, Benzema & Vinicius.
Subs: Kroos, Marcelo, James, Isco, Areola, Mariano, Asensio, Militao, Brahim, Javi Hernández, Rodrygo, Altube
Mallorca XI: Manolo Reina, Budimir, J. Lago, Dani Rodríguez, Raillo, A. Sedlar, Febas, M. Valjent, Pozo, I. Mohammed, T. Kubo
Subs: Salibur, Salva Sevilla, P. Chavarría, Xisco Campos, A. Trajkovski, Abdón Prats, Josep Señé, Miquel Parera, Joan Sastre, J. Hernández, Fran Gámez, L. Romero
Wakuu, naomba mwenye LINK ya kutazama mpira wa Madrid anisaidie tafadhali.