Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Nani anestahiki kucheza?
Mzee hujui viwango vya wachezaji wanao stahili kucheza madrid? we unaona benzema anasifa hiyo? Madrid inaitaji world class forward & striker usiniambie tena hujui wakina nani tena ni mafoward bora kwa sasa?

Kwani ww huoni magoli ni machache siku hizi team inahitaji magoli ndio tatizo lipo hapo tu kwa madrid basi kwengine kote wapo safi.
 
I don't care tuna shinda goli ngapi cha mhimu ni ushindi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa lakini ukatae ukubali kuwa na striker & forward kama Benzema pekeyake timu haitafika popote kuna UEFA nk.. tunaitaji mtu ambaye ni tishio hatawapinzani wakija wanakuwa na hofu ya mchezo lakini sio kwa forward ya aina hii ya Benzema yaan hata beki wa team pinzani hawana hofu kabisa.
 
Mkuu unalalamika sana, alafu unaonekana hata mechi zenyewe huangalii. Jovic ashapewa nafasi mara kadhaa lakini anashindwa kuzitumia. Menzema hata asipofunga kuna pasi za akili sana hua anaweka. Ukumbuke hadi sasa Benze ndio top score wa timu. Relax.
Sio chuki Benzema kwa sasa hastahili kucheza madrid kwa kiwango chake ni hivyo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajuaje hawana hofu??
sawa lakini ukatae ukubali kuwa na striker & forward kama Benzema pekeyake timu haitafika popote kuna UEFA nk.. tunaitaji mtu ambaye ni tishio hatawapinzani wakija wanakuwa na hofu ya mchezo lakini sio kwa forward ya aina hii ya Benzema yaan hata beki wa team pinzani hawana hofu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unalalamika sana, alafu unaonekana hata mechi zenyewe huangalii. Jovic ashapewa nafasi mara kadhaa lakini anashindwa kuzitumia. Menzema hata asipofunga kuna pasi za akili sana hua anaweka. Ukumbuke hadi sasa Benze ndio top score wa timu. Relax.

Sent using Jamii Forums mobile app
sawa sikatai unayoyasema lakini Benzema sio aina ya mchezaji wa kucheza madrid kwa sasa muda wake umeshapita. Kwasa hv huyo Benzema katika Top 5 forward world class hayupo inamaana sio bora tena kwasasa, Madrid ni team wanaocheza watu bora duniani kote unamg'ang'ania mtu ambaye hata kwenye team yake ya Taifa hawezi kuitwa! Alafu ndio anastahili kucheza madrid eti 😂😂😂😂
 
Acha mboyoyo wewe. Tulia.
Unataka huyo strike atolowe wapi ili aje kucheza nafasi ya Benzema?? Jovic kashaonyesha bado, ataendelea kujengwa taratibu bila pressure.
Tupo top of the league sahivi. Tukiwa na huyu huyu Benzema.
team ambayoina forward mbappe, lewandowski, Kane, Neymar, CR7, Aguero nk.. Alafu na team yenye forward Benzema ww unazani wapi beki zitakuwa zina babaika muda wote na kuwa na hofu ya kufungwa anytime?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee hujui viwango vya wachezaji wanao stahili kucheza madrid? we unaona benzema anasifa hiyo? Madrid inaitaji world class forward & striker usiniambie tena hujui wakina nani tena ni mafoward bora kwa sasa?

Kwani ww huoni magoli ni machache siku hizi team inahitaji magoli ndio tatizo lipo hapo tu kwa madrid basi kwengine kote wapo safi.

Mkuu kwenye masuala ya football acha mihemko. Neymar wala mbappe sio mastriker na kwa position wanazocheza wao Real madrid wapo wachezaji wengi tu Kuanzia Hazard, Isco, Jr, James, Bale na wengineo.

Na nimekushusha thamani pale ulipomrate Kane zaidi Benzema

Who is Kane??? average overrated english player ambaye amecheza pengine robo fainali moja tu ya champion league katika maisha yake wakati Benzema ni 5 times champion league winner as a starter
 
Acha mboyoyo wewe. Tulia.
Unataka huyo strike atolowe wapi ili aje kucheza nafasi ya Benzema?? Jovic kashaonyesha bado, ataendelea kujengwa taratibu bila pressure.
Tupo top of the league sahivi. Tukiwa na huyu huyu Benzema.

Sent using Jamii Forums mobile app
sibishani tena na ww hujui falsafa ya Madrid na hujui maana ya neno Galácticos ni nn kwa madrid. ukijua uje tuendele na mjadala.
 
Mkuu kwenye masuala ya football acha mihemko. Neymar wala mbappe sio mastriker na kwa position wanazocheza wao Real madrid wapo wachezaji wengi tu Kuanzia Hazard, Isco, Jr, James, Bale na wengineo.

Na nimekushusha thamani pale ulipomrate Kane zaidi Benzema

Who is Kane??? average overrated english player ambaye amecheza pengine robo fainali moja tu ya champion league katika maisha yake wakati Benzema ni 5 times champion league winner as a starter
Kuwa 5 times Champion sio issue kwahiyo kigezo hiko Benzema ni bora kuliko Dilma kwakua ajachukua uefa champion?

Katika dunia ya sasa Harry Kane ni moja wa maforward hatari hilo halipingiki kama ww unazani ni overrated basi kazi zake utakuwa huzioni nje ndani katufunga last season champions league.
 
Mkuu kma tunapa matokeo shida ipo wapi?

mzee matokeo tunapata lakini angalia tunacheza na nani? Michezo ya UEFA matokeo yetu unayajua lakini Madrid sio club ya kushika namba mbili kwenye group stage? kwani history ya Madrid hatuifahamu!

Angalia match kubwa matokeo yetu ndio utajua mm naongea nn hapa.
 
Acha kukariri wewe. Falsafa ya Galacticos tulishaachana nayo, ndio mana unaona tunachukua vijana wadogo kutengeneza timu. Unaonyesha kabisa umekariri tu hamna unachojua.

Majina ya wachezaji umetaja huko juu mmoja tu ndio top score kwenye ligi husika.

Tulia acha mboyoyo.
sibishani tena na ww hujui falsafa ya Madrid na hujui maana ya neno Galácticos ni nn kwa madrid. ukijua uje tuendele na mjadala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimu huu tume anzia chini ndio maana imekua hivyo kumbuka huwez kuwa number 1 milele , Hazard na Asensio wakirudi tuta kaa poa japo ni kweli tuna hitaji striker wa kumu challenge Benzema mwenye caliber ya Filimino, Mbappe au Aubamiyang

Back
Top Bottom