Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #43,681
70’ - Real Madrid 1-0 Atletico Madrid
Tunakosa traika mjanja pale mbele, Benzema hawezi sana ingawa kafungaAgain, Fede Valverde is a MOM
Jovic yupo lakini zidane anampendelea mfaransa mwenzie.Tunakosa traika mjanja pale mbele, Benzema hawezi sana ingawa kafunga
Jovic karizika sana, hajitumi vya kutoshaJovic yupo lakini zidane anampendelea mfaransa mwenzie.
Kesho wababe wenu levante weka droo. Wanatoa droo pale pale kwenu. Sawa mama.
Jovic yupo lakini zidane anampendelea mfaransa mwenzie.
Anaitaji kecheza match nyingi zaidi kuingia kwenye mfumo.Jovic karizika sana, hajitumi vya kutosha
amekuwa mtu wa kutokea bench sana Jovic.
amekuwa mtu wa kutokea bench sana Jovic.
Unaona Zidane navyosoma mchezo, 5 midfielders didn't work akaona aingie 2 wingers baada ya dakika 45 tu. Na choice of the sub was right, Kroos was losing the ball a lot and Isco couldn't dribble through all the traffic. And big up to our tight defence too. Watu wamezoea ile wing back ya Marcelo lakini kwa sasa tunamuhitaji sana huyu Mendy. Kama mliangalia game na Zaragoza, makubaliano na mimi kwamba M12 umri unamtupa mkono, ukimpa Big games kama hizi inaweza kuwa noma
Marcelo kwa sasa hastahili kuanza, ila don't write him off just yet. Subiria April hapo. He's been there several times before.
Tunakosa traika mjanja pale mbele, Benzema hawezi sana ingawa kafunga
Jovic yupo lakini zidane anampendelea mfaransa mwenzie.