Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Mbappe naona anakuja washaanza kugombana na kocha wake huko Au Aubamiyang ngoja tuone lakini itakapo fika summer.Msimu huu tume anzia chini ndio maana imekua hivyo kumbuka huwez kuwa number 1 milele , Hazard na Asensio wakirudi tuta kaa poa japo ni kweli tuna hitaji striker wa kumu challenge Benzema mwenye caliber ya Filimino, Mbappe au Aubamiyang
Sent using Jamii Forums mobile app
