Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Taratibu mwamba anarithi mikoba ya Ramos kufunga ,imebaki kupiga penalty akijifunza na hili na kuwa na Roho mbaya ya unyama unyamani itakuwa poa sana
Varane ni mpiga penalty mzuri, japo sio kama Ramos. Na roho mbaya hana kabisa. They'll never be another Ramos.