Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #43,641
KICKOFF! #HalaMadrid
Vamooooos Real Madrid!!RAAAAAPPPPHHHAAAEEEEEELLLLL VAAAARRRAAANNNNNNEEEEEE!!!!!!
Kuna haja ya Dogo kupiga tizi kwa ajili ya ufungaji tu kila baada ya session, ana dribble vizuri tu ila end product yake ni mbovu, nilidhan kuwa atajifunza kwa mdogo wake Rodrygo ila wapi, bado attitude ile ile.,Huyu mtoto Vinincius sijui kwanini anashindwa kufunga mabao!
Huyu mtoto Vinincius sijui kwanini anashindwa kufunga mabao!
Hatimae kafanikiwa kufunga, bado mwenzie Luka Jovic,VVVVVIIIINNNNNIIIICCCCCIIIIUUUSSSSS JRRRRRRRR!!!!!!
Taratibu mwamba anarithi mikoba ya Ramos kufunga ,imebaki kupiga penalty akijifunza na hili na kuwa na Roho mbaya ya unyama unyamani itakuwa poa sanaRaphael Varane has now scored 4 goals for Real Madrid this season