Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kwa performance hii ninaona tukibeba ndoo, vijana wameupiga wa kutosha, Bale alikosa tu umakini kidogo tungewalaza na viatu hawa Leo.,
Ila ile Oblak aliyosave ndio ilikuwa inaamua matokeo,
 
Hivi no Mimi tu nimeona alichokuwa anafanya Valverde ama na wengine mmeona pia, yule Dogo anafanya marking hatari tupu, yaani yule ndio aina ile ya viungo wakabaji unaowakabidhi mtu kuwa asipige mpira na akatembea nae mwanzo mwisho, Dogo ameimarika sana ukichanganya na Casemiro anavyokaba kwasasa wapinzani watapata.shida sana. kiukweli .
 
Kwa maoni yangu, ile front three ya Hazard, Bale na Benzema ipo kwa ajili ya kuwazibia madogo wasipate number tu. I dare to say, Rodrygo is better than all of them. Hawa jamaa washajichokea sema wanabebwa na historia tu.
 
Kwa maoni yangu, ile from three ya Hazard, Bale na Benzema ipo kwa ajili ya kuwazibia madogo wasipate number tu. I dare to say, Rodrygo is better than all of them. Hawa jamaa washajichokea sema wanabebwa na historia tu.
Mkuu n swala la muda tu. Hazard Benzema Bale bafo ni threat kwa timu pinzani. Kina Rodrygo wasingefanya chochote
 
Mkuu n swala la muda tu. Hazard Benzema Bale bafo ni threat kwa timu pinzani. Kina Rodrygo wasingefanya chochote
Bado ni wazuri kiasi chao, wanachowazidi hawa vijana wadogo ni experience tu, mdogo mdogo Zidane atajua jinsi ya kuwachezesha na hawa vijana wetu wadogo, Hazard bado anahitaji darasa jinsi ya ku link up na wenzie na ajitahid asiwe anapoteza mpira mara kwa mara.,
 
Yeah ni kweli kabisa. Yan Hazard Laliga atasumbua sana akielewana na wenzie.
 
Aldonae, post: 32793139, member: 267429
Mkuu mbona unakata tamaa mapema hivyo, msimu ndio kwanza unaanza chochote kinawezekana., kwahiyo kuwa na Imani tu uwezekano wa kuchukua Kombe upo tena mkubwa tu, #HalaMadrid
Kaka baada ya jana kuitazama madrid yetu bika kupepesa jicho,imani imeongezeka.Tunatoka na kitu mwaka huuu.
 
Kwa maoni yangu, ile from three ya Hazard, Bale na Benzema ipo kwa ajili ya kuwazibia madogo wasipate number tu. I dare to say, Rodrygo is better than all of them. Hawa jamaa washajichokea sema wanabebwa na historia tu.
Mkuu upo sawa lakini kuna mechi za kucheza kucheza wale watoto na za kucheza hawa mafather

Uwepo wao uwanjani kwanza unafanya beki za timu pinzani zisipande ili kuwachunga wao, tofauti wakiwepo madogo…

Mechi inayokuja tutakua nyumbani na timu ndogo, ninaamini Zizu atawapanga madogo

Kabla ya game niliamini kabsa Nacho atakua bonge la uchochoro kuruhusu magoli lakini ninadiriki kusema kajitahidi sana, tena sana tu kuitendea haki nafasi isiyo yake.

Pia shukurani za dhati zimufikie captain Ramos na Casemiro kwa viatu vya hapa na pale vilivyopelekea Felix kukosa muelekeo wa game
 
Kwa maoni yangu, ile front three ya Hazard, Bale na Benzema ipo kwa ajili ya kuwazibia madogo wasipate number tu. I dare to say, Rodrygo is better than all of them. Hawa jamaa washajichokea sema wanabebwa na historia tu.
Hazard anapokea mpira wa kasi halafu anaupooza.. na kufanya timu pinzani kuziba nafasi fasta.
Anapaswa atulie na arekebishe tatizo hili ili asiue mashambulizi pia kupoteza mipira kirahisi.
 
Kwa maoni yangu, ile front three ya Hazard, Bale na Benzema ipo kwa ajili ya kuwazibia madogo wasipate number tu. I dare to say, Rodrygo is better than all of them. Hawa jamaa washajichokea sema wanabebwa na historia tu.
Bwana mdogo Rodrygo anajua kufunga na hata kuchezesha team nashangaa kwa nini Zizou hampi nafasi ya kutosha. Nimeicheck mechi ya real Madrid castilla juzi dogo amefunga goli zuri. Kiufupi dogo anajua kuzidi hata Huyo Vinicius Jr.
 
Back
Top Bottom