Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Wakuuuuu. Tunapigwaaaa hukoooo. Tibauth coutous kuwa kama kipa wetu sioni tofauti na kucheza bila kipa. Nani alitudsnganya tukalinunua zezeta lile. Halijawahi kuniemmpress tangu limetonga atletico madrid. Kwani lilikuwa na defence nzuri na hatukuona madhaifu yakee
 
Ni vijana tu hawajaweza kuweka mpira sehemu husika, Vasquez anatakiwa kutoka mapema tu ili ampishe Jovic ama Vinicius Jr, anapwaya sana. Hazard anatakiwa kufanya maamuzi ya haraka,
 
Ivi kufukuza kocha na kufukuza mchezaji ipi gharama..... yaani sijawahi kuwa na imani na thibaut courtous. Mara mia tucheze bila kipa ila sio zezeta lile
 
Madrid kweli ni hoi bin dhoofu, Club Bruge hata Genk ya Samata inajipigia leo Madrid anatoa draw Bernabeu
 
Back
Top Bottom