Hawa wachezaji wa Madrid lazima walilala Casino. Kama Vazquez ni lazima aliondoka na malaya wawili kapuuzi kale.
What I know about the UCL, we're still in the competition. 4 games to the knock out stage. We're not in our best level but we can make it. Hata misimu tuliobeba kombe hili haikuwa easy, we suffered a lot. Let's focus on the weekend match against Granada. Hala Madrid
Hivi no Mimi tu nimeona alichokuwa anafanya Valverde ama na wengine mmeona pia, yule Dogo anafanya marking hatari tupu, yaani yule ndio aina ile ya viungo wakabaji unaowakabidhi mtu kuwa asipige mpira na akatembea nae mwanzo mwisho, Dogo ameimarika sana ukichanganya na Casemiro anavyokaba kwasasa wapinzani watapata.shida sana. kiukweli .
That's our 3rd consecutive clean sheet since losing 3-0 at Paris.
An amazing reboot of the defensive line.
Tailtizo la huyu dogo hana Consistence ya peformance. Leo moto kesho baridi. Si bora tumpeleke Swansea tuSomehow Zidane simuelewagi kuhusu huyu Vazquez.
Mkuu sijaelewa.Unasema?Binafsi zidane angeendeleza kizazi cha skolari,wale makinda wangesha imarika,kitendo cha kuwapa nafasi wazee ndicho kilicho haribu
Labda mbebe ndoo ya majiKwa performance hii ninaona tukibeba ndoo, vijana wameupiga wa kutosha, Bale alikosa tu umakini kidogo tungewalaza na viatu hawa Leo.,
Ila ile Oblak aliyosave ndio ilikuwa inaamua matokeo,