MDAU JR
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 452
- 82
Pale mbele sipaelewi kwa kweli mipira ikienda mbele hakuna threat yeyote ya maana..
Nafasi kama ile ya Bale ilikuwa ni ya kufunga goli kabisa ile sema ndo vile mzee wetu ameisha huyu [emoji16][emoji16][emoji16]