Mafanikio gani ambayo hayawezi fikiwa?? Kama ni UEFA mara 3 mfululizo mbona Ajax na bayern walishafanya kitambo sana!!
Madrid imejenga timu kwa pesa hamkuzi wachezaji tofauti na Napoli,Dortmund au Ajax ambazo zinasajili average players na kuwakuza then kuwauza kwa bei kubwa hizo ndio timu maana returns zinalingana na uwekezaji waliofanya.
Ila madrid Mnasajili dirisha moja kwa 200m+ then mnajisifia mafanikio..... Huku youth development zero kabisa ona james mpka kakimbia,RDT,odegaard,reguilon,Llorente wote hawahitajiki. Isco mmemtosa bado vallejo na Diaz mnataka kuwapiga bei alafu mnadai hakuna timu inayowaweza!!! Kwa lipi labda??
Actually Timu yoyote ikiwa na pesa inaweza fikia mafanikio yenu. Na mshukuru mko La liga ambayo timu hazina pesa ila siku hizo sevilla,Getafe na valencia zikipata wawekezaji wa kueleweka mtakua timu ya kawaida sana maana sioni anything special kwa madrid ndio maana la liga mnashinda 2 kwa miaka 10.
Galacticos my foot