Msimu huu Juve wamemisi kombe gani kubwa walilobeba msimu jana?.. au mwaka jana walibeba uefa?
Mguu mmoja wenu aende akavae kiatu epl kama anaweza, mbona kaolewa jumla na barca.
Cr7 amekuwa mchezaji bora italy mbona husemi?.. Age 34 unataka acheze kama Hazard?..
Chuki za kutolewa UEFA 4-0 peleka huko
Mkuu upo mbali sana. Juventus mwaka huu wamekosa Domestic double baada miaka miaka mi 5, Bado hujalijua kombe walilolokosa? Walikula kipigo cha 3-0 kutoka kwa Atalanta.
Hiyo tunzo ya uchezaji bora ni fixed tu.
Yupo nafasi ya 4 kwenye chart ya kiatu cha ufunguja bora huku akiongozwa na 36 years old striker tena ambae timu yake ni mid table.
