Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

toka VAR iwe introduced madrid ina struggle saaaaana na bado huo mweanzo mlizoea ushindi wa kubebwa na dive za cr7
Those Golden days are gone
 
Maeneo mawili ndiyo yakufanyia kazi...eneo la uzuiaji na ushambuliaji...na hata kiungo mkabaji pia nikupaangalia.
 
Madrid hata wafanye usajili gani,hawatopata mafanikio kama waliyoyapata kwa muda wa zaidi miaka kumi ijayo hii comment yangu itaishi.

Zidane mbinu zake zinajulikana hana jipya ten anategemea strikers wenye viwango vya Ronado ambao hawapo sokoni.

Ile timu inatakiwa kufukuza wachezaji wote asibaki mchezaji hata mmoja wameshachoka, Msimu huu wanamaliza watatu ujao nje ya Top 4 pin this comment📌
 
Shut up.
 
Ile timu inatakiwa kufukuza wachezaji wote asibaki mchezaji hata mmoja wameshachoka, Msimu huu wanamaliza watatu ujao nje ya Top 4 pin this comment
Tunashukuru kwa maoni yako
 
Real madridi kama Manchester utd tu sasa hivi, mtastrugle sana zama zimebadilika sasa hv
 
Nasikitika kusema solari alionewa na hakupewa muda.

Lopetegui lost 3 El Classico in a row, Solari knocked out of Copa Del Rey and the Champions League, and at his time, we went out of La Liga tittle race. Zidane yuko hapa kwa ajili ya kipindi hiki cha mpito. Kazi yake kubwa ni kuunda competitive squad na kuirudisha Read Madrid yenye nguvu next season, ndio maana kapewa uwezo wa kuuza na kusajili mchezaji yoyote kwenye dirisha hili la usajili.
 
Kuna maeneo ambayo tupo hoi sana...hakuna afya...ni mawili...ushambuliaji na ukabaji
Ukiondoa udakaji (gopikipa), ushambuliaji na ukabaji.... ni idara gani nyingine imebakia kwenye uwanja wa soka?
 
Afadhali kaenda. No more drama in the squad. Kinachofuata ni mwendo wa rotation kwa squad nzima, hakuna mambo ya untouchable player anymore
Real Madrid kila mtu ni goal scorer. Misimu miwili ya mwisho jamaa alikuwa na performance mbovu sana. Mimi nafuatilia kila game ya Real, mara nyingi anapoteza possession kwasababu alikuwa anashindwa kwenda na flow ya wenzake
Sio kukaba tu. Cristiano sasa hivi can't dribble past defenders, he's not flexible anymore. Akiwa na mpira magumashi tupu. Can't give a proper passes, ndio maana nakwambia alikuwa anaua sana moves. Huwa anapoteza mipira ghafla pale usipotegemea na mara nyingi imetucost.
Mimi nafuatilia game za Real bro. Najua wanavyocheza
 
Hii hoja ni kigongo, Tunayaona huko Juventus, Timu imepoteza mchezo wake mzuri baada ya ujio wake. Pira limekua likipigwa pigwa tu mbele ili kuweza kufit mchezo wake. Hili limeawaathiri sana wachezaji wao bora wenye uwezo wakuchezea mpira vizuri. Dybala, Costa na Coadrado kuna uwezokano mkubwa wakuondoka baada Kuishia kuwa frustrated na mfumo mpya wakulamizshwa wawe wanamlisha CR7. Jamaa freekick zote anang'aga'nia na mpaka sahivi hata moja ameshsindwa kufunga.

Juventus wame underperformed sana msimu huu.
 
Vipi naona kaishia kasharekea Ligi tu? Hata utop score umemshinda, nimtu wa 4 kwenye chart 😂😂😂😂
 
Hii hoja ni kigongo, Tunayaona huko Juventus, Timu imepoteza mchezo wake mzuri baada ya ujio wake. Pira limekua likipigwa pigwa tu mbele ili kuweza kufit mchezo wake. Hili limeawaathiri sana wachezaji wao bora wenye uwezo wakuchezea mpira vizuri. Dybala, Costa na Coadrado kuna uwezokano mkubwa wakuondoka baada Kuishia kuwa frustrated na mfumo mpya wakulamizshwa wawe wanamlisha CR7. Jamaa freekick zote anang'aga'nia na mpaka sahivi hata moja ameshsindwa kufunga.
Juventus wame underperformed sana msimu huu.
Msimu huu Juve wamemisi kombe gani kubwa walilobeba msimu jana?.. au mwaka jana walibeba uefa?
Mguu mmoja wenu aende akavae kiatu epl kama anaweza, mbona kaolewa jumla na barca.
Cr7 amekuwa mchezaji bora italy mbona husemi?.. Age 34 unataka acheze kama Hazard?..
Chuki za kutolewa UEFA 4-0 peleka huko
 
Back
Top Bottom