Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Aaah mkuu Atletico si mlichomoa sekunde ya mwisho...... Haya 2016 mkachomoa kwenye penalty. So kiufupi mlidominate fainali 2 tu yaani Juve na Liverpool basi.

Humu sieleweki sababu watu wanaongozwa na ushabiki.... Ila nachopinga ni watu kudai humu kwamba kubeba UEFA 3 mfululizo hakuna timu inaweza...... Hilo napinga sababu kuna timu zimeshawahi (Ajax,Bayern) na sababu ya pili ni kwamba Knockout tournaments timu yoyote inaweza beba haijalishi ina kikosi gani.

Ndio maana nasema kama La Liga imewashinda Real Madrid yaani misimu 10 wameshinda mara 2 tu mnaweza kusema Madrid ni best team??

Format ya Ligi ndio kidogo unaweza sema timu ni bora kama Barca imeweza kudominate la liga ambayo ina Atletico na Madrid mfululizo. Sio eti knockout ndio ina determine best team in the world.
Mnatuonea wivu
 
Kelele zote hizi za kuponda uefa kua ni knockout tournament zinatokea baada ya timu zao kushindwa kutawala ulaya, pathetic
Ndio hivo msitumie knockout tournament kama reason ya kuitwa best team wakati ligi yenye timu za kichangani inakushinda!!

Mtafute kigezo kingine sio knockout competition ambayo hta spurs iliotupwa nafasi ya 4 imeingia fainali!! Je na yenyewe itakua best in the world!!

NB: wivu waionee timu iliyotolewa na watoto wa academy kwa goli 5 Hahahahah?? Hii madrid iliozabuliwa na vitimu vya kichangani kama sociedad??
 
Kwahiyo timu bora ni ipi?
Kwa vigezo vipi? Kama ni ubingwa wa ndani tu barcelona haina mafanikio mfululizo kama psg& juve kwahiyo timu bora zaidi ulaya ni juve?, akifuatiwa na psg? Really?.
 
And Sergio Ramos does a U-turn and announce to stay. Gotta love how the club gave no deal whether he left or stay. We are Real Madrid, we don't beg no one to wear the shirt.
 
Kwahiyo timu bora ni ipi?
Kwa vigezo vipi? Kama ni ubingwa wa ndani tu barcelona haina mafanikio mfululizo kama psg& juve kwahiyo timu bora zaidi ulaya ni juve?, akifuatiwa na psg? Really?.
Shida hufuatilii mtiririko wa mjadala ulipoanza...... Mwenzio alianza kusema Madrid ni bora dunia nzima kisa ina UEFA mara 3 mfululizo hivyo hakuna timu inaweza.

Nikampa facts kwamba bayern na Ajax nazo ziliwahi 3 mfululizo so sio big deal kwa Madrid kufanya hivyo.... Hata sevilla ilibeba Europa mara 3 mfululizo ingawa hata top 3 haikuwahi gusa la liga

Hoja yangu ni kwamba knockout competition sio kipimo pekee cha kutambua timu gani bora ila mfumo wa ligi ndio unaweza.... Ssa huko spain timu yenu imeshindwa beba la liga ndio unasemaje ni timu bora???

Kuhusu psg na juve wao kma Madrid wametumia pesa nyingi kufika walipofika tofauti ni kuwa france na italy hakuna mpinzani wao kifedha kma ilivyo barca huko spain ndio maana madrid haifurukuti....... Otherwise Madrid is a shitty team so ia juve and PSG!!!

Timu bora ni kama Dortmund,Ajax,Spurs,Napoli,Atletico ambazo ni timu zina bajeti finyu lakini zinapunch above their weight kwa kuleta ushindani kwenye ligi zao kwa miaka mfululizo... Sio mnatumia matrillion then mnaishia kubahatisha kama Real alafu zijiite Team bora. Yaani mnashinda UEFA kwa penalty na extra time then mtu anasema timu bora. My foot.

Tena angalau Ronaldo alikua anawabeba sahivi kasepa ndio msahau La liga kwa miaka 10 ijayo mfululizo
 
Unaandika takataka ,hazina tofauti na mifuko ya plastic iliyokatazwa

Ili mshindi apatikane ni lazima sichezwe dakika 90 ,ikishindikana extra time ikishindikana ni penalty , maana kuna watu wanafika extra na hizo penalty hawashindi
Nakupa mfano worldcup kati ua france na italy mda wa penalty shoot commentary wanakwambia italy wana record nzuri na upigaji mzuri wa penalty (utasema italy walibahatisha poor poor you)

Kifupi ujui mpira unajua ushabiki ..sinto reply
 
We ndio hujui mpira..... Wachambuzi wote wa soka wanakubali kuwa league format ndio namna bora ya kupima consistency ya timu ila knock out tournament it's all about luck.... Mfano timu ikiwa na injuries kidogo tu inaweza kutolewa ila mfumo wa ligi hata ukifungwa mechi 5 mfululizo bado unaweza kurudi kwenye reli kama una timu nzuri.

Knock out unafunga goli moja unarudi kukaba kama atletico mchezo umeisha hadi fainali ila ligi huwezi fanya hivo msimu mzima.

Pia knockout unaweza kutana na timu dhaifu hadi kufika Fainali rejea ujanja wa England kufika semi final world cup 2018.... Ila league ni round robin format so ni lazima ukutane na kila timu hapo ndio ubishi unaisha... Sio UCL unakutana na wolfsburg then napoli alafu huyo final unadai ww ndio umewazidi wote kana kwamba umezifunga timu zote kubwa za ulaya!!

Hoja yangu ndio ipo hapa.... Ushahidi angalia Real ilivyo shit la liga ila ikabeba UCL 3 mfululizo!! Au sevilla ilikuwa haifiki top 3 la liga ila ikabeba Europa mara 3 mfululizo.

Kama hii fact huijui basi ww ndio mpira huufahamu sababu mtu anayejua mpira hawezi kuwa shabiki wa Real.... Angekua anashibikia timu kama zenye natural football kama Betis au Sevilla sio kisa majina makubwa

Funny
 
so sad and disgusting how ronaldo fan boys and messi ass lickers want to to change the aim of this thread from los blancos special thread to who is better btn cr7 and messi...
 
Shida hufuatilii mtiririko wa mjadala ulipoanza...... Mwenzio alianza kusema Madrid ni bora dunia nzima kisa ina UEFA mara 3 mfululizo hivyo hakuna timu inaweza.

Nikampa facts kwamba bayern na Ajax nazo ziliwahi 3 mfululizo so sio big deal kwa Madrid kufanya hivyo.... Hata sevilla ilibeba Europa mara 3 mfululizo ingawa hata top 3 haikuwahi gusa la liga

Hoja yangu ni kwamba knockout competition sio kipimo pekee cha kutambua timu gani bora ila mfumo wa ligi ndio unaweza.... Ssa huko spain timu yenu imeshindwa beba la liga ndio unasemaje ni timu bora???

Kuhusu psg na juve wao kma Madrid wametumia pesa nyingi kufika walipofika tofauti ni kuwa france na italy hakuna mpinzani wao kifedha kma ilivyo barca huko spain ndio maana madrid haifurukuti....... Otherwise Madrid is a shitty team so ia juve and PSG!!!

Timu bora ni kama Dortmund,Ajax,Spurs,Napoli,Atletico ambazo ni timu zina bajeti finyu lakini zinapunch above their weight kwa kuleta ushindani kwenye ligi zao kwa miaka mfululizo... Sio mnatumia matrillion then mnaishia kubahatisha kama Real alafu zijiite Team bora. Yaani mnashinda UEFA kwa penalty na extra time then mtu anasema timu bora. My foot.

Tena angalau Ronaldo alikua anawabeba sahivi kasepa ndio msahau La liga kwa miaka 10 ijayo mfululizo
Hebu tupeane takwimu since 2010-2019, barca katumia kiasi gani kusajili? Weka na ya madrid
 
Ndio hivo msitumie knockout tournament kama reason ya kuitwa best team wakati ligi yenye timu za kichangani inakushinda!!
Mtafute kigezo kingine sio knockout competition ambayo hta spurs iliotupwa nafasi ya 4 imeingia fainali!! Je na yenyewe itakua best in the world!!
NB: wivu waionee timu iliyotolewa na watoto wa academy kwa goli 5 Hahahahah?? Hii madrid iliozabuliwa na vitimu vya kichangani kama sociedad??
Mkuu timu inayocheza knockout competition inatoka wapi.?.. sio kwenye ligi?
Hii unayoita knockout haianzii makundi.? Na mpaka wanafika final ni bahati tu sio uwezo?..
Uambiwe utaje timu bora ulaya utaitaja Sociedad na Ajax ukaiacha Real au Barca kisa kafungwa na Betis.?
Kumbe hata Uefa 3 mfulululizo kwako sio kitu ni bahati tu na sio bora.
UEFA ni knockout vipi World cup.? wanaocheza hawajui ni mtoano hadi mtu akibeba anaonekana hakuwa bora.?
Real sio bora sawa,.. Bora ni nani hata ndani ya 10 Years tu.?
 
Jamaa hajui NAPOLI, AJAX, ROMA na SPUS wanasajili kutokana na uwezo wao.. huwezi ukamtaka MBAPPE mfukoni huna kitu.
Halafu timu kuspend tu haitoshi kukupa vikombe... Mfano ni PSG mbona wanatumia pesa ndefu bado wanakuna kichwa.. Twende pale MAN U baada ya Ferguson kutoka mbona ela imetumika kubwa bado hakuna kitu.
 
Unajua pale unapoongozwa na mhemko badala ya uhalisia, mambo kama hayo lazima usahau
Jamaa hajui NAPOLI, AJAX, ROMA na SPUS wanasajili kutokana na uwezo wao.. huwezi ukamtaka MBAPPE mfukoni huna kitu.
Halafu timu kuspend tu haitoshi kukupa vikombe... Mfano ni PSG mbona wanatumia pesa ndefu bado wanakuna kichwa.. Twende pale MAN U baada ya Ferguson kutoka mbona ela imetumika kubwa bado hakuna kitu.
 
Nishawaambia uyo ni mtu mmoja wa kupuuza na bila shaka bado anaushabiki wa messi na ronaldo ...nafikiri pia ni mshabiki maandazi wa Barcelona
 
Ndio hivo msitumie knockout tournament kama reason ya kuitwa best team wakati ligi yenye timu za kichangani inakushinda!!

Mtafute kigezo kingine sio knockout competition ambayo hta spurs iliotupwa nafasi ya 4 imeingia fainali!! Je na yenyewe itakua best in the world!!

NB: wivu waionee timu iliyotolewa na watoto wa academy kwa goli 5 Hahahahah?? Hii madrid iliozabuliwa na vitimu vya kichangani kama sociedad??
Ni wivu tuu
IMG_20190531_130258_298.JPG
 
Jamaa hajui NAPOLI, AJAX, ROMA na SPUS wanasajili kutokana na uwezo wao.. huwezi ukamtaka MBAPPE mfukoni huna kitu.
Halafu timu kuspend tu haitoshi kukupa vikombe... Mfano ni PSG mbona wanatumia pesa ndefu bado wanakuna kichwa.. Twende pale MAN U baada ya Ferguson kutoka mbona ela imetumika kubwa bado hakuna kitu.
Hapana mkuu hii perception ni mbaya sana.... Biashara haziendeshwi hivi. Unaweza hata ukachukua mkopo ukasajili mchezaji unayetaka sio necessarily mpaka uwe na hizo pesa benki hata C. Ronaldo madrid mlimnunua kwa pesa mliokopa ndio maana hata leo Real Madrid ni moja ya timu zenye madeni makubwa by mwisho wa msimu uliopita kutokana na gharama za usajili n.k

Hao Napoli na Ajax revenues za mauzo ya wachezaji huwa zinakuwa reinvested kwenye maeneo mengine ila haimaanishi eti hazina pesa za kusajili.... Spending big kwenye dirisha haimaanishi unapesa nyingi kuliko wengine bali ni vipaumbele.

Hivi ni timu gani ilikuwa na negative debt balance zaidi ya Arsenal..... Ila uliwahi ona inasajili kwa kumwaga €200 Million kwenye dirisha moja??

Tusichanganye UWEZO wa kifedha na MAAMUZI ya kusajili..... Ni vitu viwili tofauti ambavyo havina mahusiano kabisa maana vinategemea sera ya klabu inatakaje.
 
Mkuu timu inayocheza knockout competition inatoka wapi.?.. sio kwenye ligi?
Hii unayoita knockout haianzii makundi.? Na mpaka wanafika final ni bahati tu sio uwezo?..
Uambiwe utaje timu bora ulaya utaitaja Sociedad na Ajax ukaiacha Real au Barca kisa kafungwa na Betis.?
Kumbe hata Uefa 3 mfulululizo kwako sio kitu ni bahati tu na sio bora.
UEFA ni knockout vipi World cup.? wanaocheza hawajui ni mtoano hadi mtu akibeba anaonekana hakuwa bora.?
Real sio bora sawa,.. Bora ni nani hata ndani ya 10 Years tu.?
Mie sio mshabiki wa Barca ila personally ndio timu bora ulaya kwa hii decade ikifuatiwa na Napoli na Dortmund,Atletico,Spurs maana zinaoperate kwenye bajeti finyu ila zimeendelea kuleta ushindani kwa miaka mingi hivyo nazipa Heko.

Nachosema ni kweli Real kuchukua uefa mara 3 ni milestone ila msiikuze sana eti ndio timu bora duniani kisa hizo hat-trick..... Nikajenga hoja kwamba licha ya kutumia pesa nyingi na kumtegemea ronaldo kuwabeba ila bado knockout competition sio kipimo cha timu bora maana timu inaweza kukutana na dhaifu mpaka fainali tofauti na ligi ambapo lazima ukutane na mabingwa wenzio ili utambue nani mfalme wa wenzie.

Mfano juve ingemfunga Ajax ingemtkuta spurs hizo zote ni average team na ingeshaingia final.... Ila kwenye ligi hakuna hizo janja lazma ukutane na wababe wenzio.

Kumbuka Atletico walikua hawaingii Top 2 la liga lakini walifika fainali ya UEFA mara 2 sababu ya strategy ya kufunga 1 wanarudi kupaki basi...... Sasa hyo janja la liga hamna maana ni lazima wamfunge barca na real ili wabebe ndoo.

I hope mnaelewa hoja yangu
 
Back
Top Bottom