Platnam
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 769
- 1,239
Ronaldo kabeba Juve ipi,?? Hahahaa.Tofauti ya Real Madrid na Man city,Juve,PSG angalau Ronaldo alikua anawabeba sana ila misimu yote Real madrid ilikuwa ya kawaida sana UEFA rejea Galacticos ya kina Ronaldo na Beckham.
Sasa Ronaldo hayupo ndio tumepata fursa ya kuiona Real Madrid ikiwa yenyewe inakuwaje.... Ndio haya ya kufungwa na kina Sociedad et al.
Mmeona Ronaldo kaenda Juve kawabeba ipasavyo...... Money buys trophies. Madrid had money... Got Ronaldo.... Got trophies nothing new nothing special!!
Kiufupi Real ndio imezikwa rasmi msimu huu
Hembu nitajie walichishinda Juve na hawajawahi kushinda kabla ya Ronaldo??
Sidhani kama unaelewa unachoandika

