SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Jaman kuna Uefa inaendelea
Mkuu una utani mbaya sana
You gotta jokes!!
Jaman kuna Uefa inaendelea
Huku pamepoa sana
Sent using simu mbovu
J ni nk*ni in mi ni ni ni kkninniininnniMkuu una utani mbaya sana
You gotta jokes!!
ok n nnin[CODE]in[CODE]n
Mkuu una utani mbaya sana
You gotta jokes!!
Nnin kiJaman kuna Uefa inaendelea
Jaman kuna Uefa inaendelea
Tatizo la benzema ni kuwa anapatikana wakat ambao humhitaji sana...maana anachokifanya ni sawa na mwanaume aliyeoa kisha anapiga bao nyingi halafu hayawez mpa mimba mwanamke...kiufup hayana madhara...kwenye mbio za ubingwa hatupo...hatupo kwenye kinyang'anyiro cha kombe lolote...na lengo la timu kubwa na yenye hadhi ya madrid nikuchukua ubingwa wowote inayoshiriki
Linganisha na uwiano wa nafasi anazokosa za wazi ambazo zimeigharimu timu kuwa hapo ilipo?yaan ni sawa unataka tumpongeze kwa kupiga hatua saba nyuma na moja mbele...Really? Bila ya hayo magoli yake ya ndani ya mechi tano tu za nyuma sasahivi Real Madrid ingelikua nafasi ya 6.
Linganisha na uwiano wa nafasi anazokosa za wazi ambazo zimeigharimu timu kuwa hapo ilipo?yaan ni sawa unataka tumpongeze kwa kupiga hatua saba nyuma na moja mbele...
Hii season mtu alietuangusha ni Gareth Bale. Imegine kama angekuwa anapiga mabao kama mwenzake Benzema! Most paid player in the squad !akini uwanjani haionekani. Jamaa bora aende tu.
Hii season mtu alietuangusha ni Gareth Bale. Imegine kama angekuwa anapiga mabao kama mwenzake Benzema! Most paid player in the squad !akini uwanjani haionekani. Jamaa bora aende tu.
Linganisha na uwiano wa nafasi anazokosa za wazi ambazo zimeigharimu timu kuwa hapo ilipo?yaan ni sawa unataka tumpongeze kwa kupiga hatua saba nyuma na moja mbele...
Linganisha idadi...huwez pata nafasi 10 ndio ufunge goli mbili...kwenye mechi muhimu ambazo zinahitaji maamuzi yenye uhakika mkubwa benzema hana hiyo na ndio mahali mshambuliaji bora anapopimwa...Aliekua hakosi nafasi ni nani?
Hata huyu nilishatoa maoni yangu pia aonde...huyu na korido za hospitali ni marafiki...uwezo wake umefika kikomo..Hii season mtu alietuangusha ni Gareth Bale. Imegine kama angekuwa anapiga mabao kama mwenzake Benzema! Most paid player in the squad !akini uwanjani haionekani. Jamaa bora aende tu.
Real madrid ni club kubwa ni fedheha sana msimu unaisha na hakuna hata kikombe tulichobeba...maeneo mawili ndio yakufanyia kaz...beki za kati na foward line
Linganisha idadi...huwez pata nafasi 10 ndio ufunge goli mbili...kwenye mechi muhimu ambazo zinahitaji maamuzi yenye uhakika mkubwa benzema hana hiyo na ndio mahali mshambuliaji bora anapopimwa...