Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

La liga is not decided yet
Ila haiwezi kwenda bernabeu, La Liga misimu ya karibuni imekuwa ikienda Barca zaidi kuliko timu yoyote.

Hata Madrid wakawa na timu bora kiasi gani, kuchukuaga La Liga sio kazi rahisi kwao.
 
Wale Washabiki Fake walioingia Real kwa Zidane kubeba CL karibuni watapotea
 
Zidane ndio alikuwa anaibeba hii timu, na alikuwa na game plan kwa hizi mechi za UEFA, thats why miaka aliyokaa pale kakusanya UEFA za kutosha ila kwenye ligi alikuwa anaburuzwa.,
 
Duuuh,barca wana kesi ya kujib,ya nn kumuharibu binti wa watu namna hii.😂😂😂😂poor madridiot
 
Back
Top Bottom