Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

..
IMG-20190306-WA0012.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili za Florentino Perez unaweza kukiona kikosi hikihiki next season. Pesa ananunua starlets baadae awauze apige mpunga, yule mzee mbishi kama mapumbu.
 
Lazima ataleta hitman hapo mbele
 
Hawa walevi walitakiwa kutoka tangu 1st leg bahati yao walibebwa na penati za magumashi.... KARMA

Sent using Unknown device
 
Back
Top Bottom