Ongeeni tu kiswahili aibu msiifichie kwenye kimombo.mmepigwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndani ya SANTIAGO BERNABEU.
Bado wale MAN U.
Tena wale ndio weupe kabisa.
Kiulaini wanaaga
Ivi amna namna nyingine ya kuwaelewesha hawa maake nadhani hawa kuelewi kabisaaNyie nyumbu ndo mjue kuna tofauti ya wavulana na wanaume, leo wanaume wamewaonyesha shughuli.
Sent using Jamii Forums mobile app

Kama namuona Mbappe akishangilia goli la tatu vile ....MbappeeeeeeeeeeeeHivi Madrid alishinda mbili bila nyumbani kwa Ajax sio?
Mechi ya kwanza maamuzi ya VAR iliwapendelea Madrid ila leo zamu yenu kuona uchungu.Tunahangaika na come waamuzi wanafanya makosa yanayosababisha goli la 3.
Walimpiga AJAX bao Mbili kwa MojaHivi Madrid alishinda mbili bila nyumbani kwa Ajax sio?
La liga is not decided yetTrophyless season kama Getafe.
Uyo anataka kutuambia eti watapindua màtokeo kama Ajax hahahaha....Walimpiga AJAX bao Mbili kwa Moja