Mimi nilisema na nilijua msimu team yetu ni mbovu ni matter what ..team inatakiwa itengenezwe upya chini ya kocha mwenye udhoefu
Na hili la ajax lizidi kuwa funzo maana tungeenda mbele zaidi tungepata tabu
Tukubali na kujipanga for next season
VJ ana utoto mwingi. Mechi zote nilizomuangalia naona anajiangusha angusha kirahisi kabisa. Nahisi anamuangalia sana Neymar!Huyu V J analialia- kwani hakujua its a man's game







Sidhani hata Mou kama ataiweza labda apewe fungu anunue players anaowatakagive this team to mourinho before its toooooo late