Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,002
- 60,081
Tabiri na mechi za leo basi hasa PSG Manu,Porto Roma.
Tabiri na mechi za leo basi hasa PSG Manu,Porto Roma.
The CR7 effect
Before Ronaldo: -
04/05: R16
- 05/06: R16
- 06/07: R16
- 07/08: R16
- 08/09: R16
With Ronaldo:
- 09/10: R16
- 10/11: SF
- 11/12: SF
- 12/13: SF
- 13/14: W
- 14/15: SF
- 15/16: W
- 16/17: W
- 17/18: W
After Ronaldo: - 18/19: R16

Wengine tulihama na RonaldogoalsWale Washabiki Fake walioingia Real kwa Zidane kubeba CL karibuni watapotea
Wewe nawe nakuona empty set tangu udanganye siku ile eti msimu uliopita barca alinyanyua kombe bila kufungwa.
Inshort hujui kitu
Tabiri na mechi za leo basi hasa PSG Manu,Porto Roma.
Man united
Ndiyo,wewe mtabiri gani sasa? Si utabiri Bwana. Ila PSG ninaipenda pia.
Ndiyo,wewe mtabiri gani sasa? Si utabiri Bwana. Ila PSG ninaipenda pia.
Mimi huwa sibeti,sihitaji pesa za bahati Nasibu .
Mimi huwa sibeti,sihitaji pesa za bahati Nasibu .