Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,725
- 3,516
Naona gari limewaka huku...
Celta ni jeuri ila kwa jana Benz alikuwa kiburiView attachment 930879
Benzema ni very Joyful kumtizama. Anaufanya uone mchezo wa mpira kama ni mchezo rahisi kwa macho.
Wale waliosema hafai waendelee kula maneno yao.
Lapotegui alikua ana kwama wapi?
!Hala Madrid
Na huo usajili wetu lkn ndoo 4 uefa,Kuna watu walikuwa wanampa kichwa sana dogo Asensio sasa kimya, bila usajili wa maana sahauni La Liga, Barca inapokuja suala la usajili management yao hawana mchezo. Suarez-£75 million, Coutinho- £140 million, Dembele (over £80 million) e.t.c
Sasa ulizia Los Blancos miaka ya karibuni wamesajili nani
Na huo usajili wetu lkn ndoo 4 uefa,
Mkuu Madrid imeanza kuwasha moto,subir hizo tim zako tukutane nazoUEFA mwaka huu ni Barca or Man City, take it from me.
Real akikutana na Barca UEFA ndio mwisho wa safari yake.
Mna poor performance domestically you have to admit that, na wave ya UEFA imeshabadilika, nawategemea Juve labda ndio watoe upinzani UEFA ila sio nyinyi
Bingwa wa uefa akitoka Madrid anaweza kuwa team yoyote uefa aichukuliwi na team zilizoko form muulize bingwa wa la liga mwaka jana alitolewa na team ya ngapi serie A, uefa mipango Ndio maana Real Madrid ni bingwa wa kihistoria hauitaji form kucheza mechi 8 ,unahitaji mbinu zaidiUEFA mwaka huu ni Barca or Man City, take it from me.
Real akikutana na Barca UEFA ndio mwisho wa safari yake.
Mna poor performance domestically you have to admit that, na wave ya UEFA imeshabadilika, nawategemea Juve labda ndio watoe upinzani UEFA ila sio nyinyi
Kuna watu walikuwa wanampa kichwa sana dogo Asensio sasa kimya, bila usajili wa maana sahauni La Liga, Barca inapokuja suala la usajili management yao hawana mchezo. Suarez-£75 million, Coutinho- £140 million, Dembele (over £80 million) e.t.c
Sasa ulizia Los Blancos miaka ya karibuni wamesajili nani
Acha kuongea pumba. Sasa uyo Dembele kutoa pesa hizo si waliibiwa tu. Hata namba ya uhakika hana.
Tuongelee uwezo wa Dembele na sio upataji wake wa namba, kuna winger gani wa Real sasa hivi ana kiwango na uwezo sawa au zaidi ya Dembele?
Bale kaflop, Asensio uwezo mdogo n.k
Ishu ya kukosa namba ndio proof ya Quality ya Squad